Bakwata tuambieni sikukuu ya Maulid ni lini

Godwin peter

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2019
Posts
360
Reaction score
608
Wadau naomba kujuzwa, tusije damka asubuhi mapema kuwahi magari kumbe sio siku ya kazi
 
Ndio ni sikukuu, mimi Kitimoto nimetangaza!
 
Iwe siku kuu au isiwe Hapa Ofisi mpaka J5 alisikika Mwalimu anayefanya kazi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Shule ya Msingi Mauno.
 
Sijui kwa nini Siku kuu za Muslim hazina tarehe maalum,zinatupa shida ya kutekeleza mipango.
 
Bakwata najua mnapita humu,tunaomba tujue sikukuu ya maulidi itakua siku gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…