Bakwata tuambieni sikukuu ya Maulid ni lini

Bakwata tuambieni sikukuu ya Maulid ni lini

Kwa uhakika zaidi.
Screenshot_20211017-210738_Word.jpg
 
Iwe siku kuu au isiwe Hapa Ofisi mpaka J5 alisikika Mwalimu anayefanya kazi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Shule ya Msingi Mauno.
 
Sijui kwa nini Siku kuu za Muslim hazina tarehe maalum,zinatupa shida ya kutekeleza mipango.
 
Bakwata najua mnapita humu,tunaomba tujue sikukuu ya maulidi itakua siku gani?
 
Back
Top Bottom