GE2025 BAKWATA waelekeza Waumini kufunga kuombea Amani kuanzia Oktoba 23 hadi Matokeo ya Uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Baraza la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza limewaelekeza waumini wake wa kufunga kwa maombi kuanzia Alhamisi ya Oktoba 23, 2025 hadi siku yatakapotangazwa matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025 na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi.

Akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza hilo Mkoa wa Mwanza Sheikh wa Mkoa huo wa Mwanza Hassan Kabeke amesema hatua hiyo inalenga kuiombea nchi amani na mshikamano, akisisitiza kuwa ni wajibu wa Kila Mtanzania kushiriki katika kuilinda amani hiyo ambayo imekuwa msingi wa maendeleo binafsi na ya Tanzania.

"Tarehe 23 Vituo vyetu vyote na misikiti yetu watafunga mpaka siku yatakapotangazwa matokeo. Ni maelekezo tumeyatoa. Hakuna kitu kigumu kama kukubali njaa lakini tutafunga kwaajili ya nchi hii kwani tunao wajibu wa kupigania amani ya nchi hii hasa kwa kurejea historia ya baadhi ya wazee wetu na wazee wa imani nyingine wameshiriki kuutafuta uhuru wa nchi hii." Amesema Sheikh Hassan Kabeke.

Kiongozi huyo pia wa imani amehimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye uchaguzi Mkuu ujao, akitaka Oktoba 29, 2025 kuwa siku ya Vikao vya familia ili kukumbushana umuhimu wa kupiga kura sambamba na masuala mengine ya kijamii na kuachana na baadhi ya hamasa za maandamano na ulinzi wa kura vituoni unaotolewa na baadhi ya wanasiasa kwenye Mitandao ya kijamii.

Katika hatua nyingine Kiongozi huyo wa dini amemtaja Dkt. Samia kama kiongozi hodari na aliyepokea nchi katika wakati ambao nchi iliandamwa na msiba na matatizo kadhaa ya kiuchumi, akiachiwa pia miradi mingi michanga iliyohitaji kuendelezwa, miradi ambayo sasa imekamilika na Taifa limeendelea kusalia tulivu, lenye amani pamoja na mshikamano.

Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Haha kwani kuna mtu amesema anaenda kuvunja amani ?
 
Funga ya Sunna ya kuokoteza.

Aloo! Huu ujahili.

Sema tutakuja kula futari ya kodi zetu, hatukataagi chakula.
 
Baraza la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza limewaelekeza waumini wake wa kufunga kwa maombi kuanzia Alhamisi ya Oktoba 23, 2025 hadi siku yatakapotangazwa matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025 na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi.

Akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza hilo Mkoa wa Mwanza Sheikh wa Mkoa huo wa Mwanza Hassan Kabeke amesema hatua hiyo inalenga kuiombea nchi amani na mshikamano, akisisitiza kuwa ni wajibu wa Kila Mtanzania kushiriki katika kuilinda amani hiyo ambayo imekuwa msingi wa maendeleo binafsi na ya Tanzania.

"Tarehe 23 Vituo vyetu vyote na misikiti yetu watafunga mpaka siku yatakapotangazwa matokeo. Ni maelekezo tumeyatoa. Hakuna kitu kigumu kama kukubali njaa lakini tutafunga kwaajili ya nchi hii kwani tunao wajibu wa kupigania amani ya nchi hii hasa kwa kurejea historia ya baadhi ya wazee wetu na wazee wa imani nyingine wameshiriki kuutafuta uhuru wa nchi hii." Amesema Sheikh Hassan Kabeke.

Kiongozi huyo pia wa imani amehimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye uchaguzi Mkuu ujao, akitaka Oktoba 29, 2025 kuwa siku ya Vikao vya familia ili kukumbushana umuhimu wa kupiga kura sambamba na masuala mengine ya kijamii na kuachana na baadhi ya hamasa za maandamano na ulinzi wa kura vituoni unaotolewa na baadhi ya wanasiasa kwenye Mitandao ya kijamii.

Katika hatua nyingine Kiongozi huyo wa dini amemtaja Dkt. Samia kama kiongozi hodari na aliyepokea nchi katika wakati ambao nchi iliandamwa na msiba na matatizo kadhaa ya kiuchumi, akiachiwa pia miradi mingi michanga iliyohitaji kuendelezwa, miradi ambayo sasa imekamilika na Taifa limeendelea kusalia tulivu, lenye amani pamoja na mshikamano.

Wawaelekezao wakati mwingine nao wamesha nunuliwa na mafisadi,sikilizeni mioyo yenu ,akili zenu,ufahamu wenu,na mafunzo ya kweli na haki katika imani yenu,ili mlikomboe taifa lenu, na kutenda yanayo mpendeza Mungu kweli na sii hadaa za kibinadamu na mawakala wa uovu!
 
Hawa wa "kanisa la Fulani" ni wachumia tumbo kama viongozi wa kiislamu. Hawa hawana tofauti linapokuja swala la njaa. Alafu wote ni vilaza.

Huwezi kuhubiri amani pasi na haki kama unajitambua kichwani.

Hata biblia inasema "amani ni tunda la haki".

Huwezi kusikia makanisa ya kitaasisi kama RC,KKKT au Anglican wakiongea hizi takataka.

Viongozi wa kiislamu walio katika mwamvuli wa bakwata na Hawa "kanisa la nabii Fulani" ni takataka.
 
Kama wanafuata hiyo Biblia unayoisema inakuaje wanaruhusu mashoga kwenda kuhiji vatican tena na bendera zao za upinde? au kwako hiyo ndio tafsiri ya kua na akili? hakuna cha kusema kanisa fulani,wagalatia ni wale wale tu,unatukana waislamu halafu wagalatia wenzako unawagawa kwenye makundi.
 
Baraza la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza limewaelekeza waumini wake wa kufunga kwa maombi kuanzia Alhamisi ya Oktoba 23, 2025 hadi siku yatakapotangazwa matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025 na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi.

Akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza hilo Mkoa wa Mwanza Sheikh wa Mkoa huo wa Mwanza Hassan Kabeke amesema hatua hiyo inalenga kuiombea nchi amani na mshikamano, akisisitiza kuwa ni wajibu wa Kila Mtanzania kushiriki katika kuilinda amani hiyo ambayo imekuwa msingi wa maendeleo binafsi na ya Tanzania.

"Tarehe 23 Vituo vyetu vyote na misikiti yetu watafunga mpaka siku yatakapotangazwa matokeo. Ni maelekezo tumeyatoa. Hakuna kitu kigumu kama kukubali njaa lakini tutafunga kwaajili ya nchi hii kwani tunao wajibu wa kupigania amani ya nchi hii hasa kwa kurejea historia ya baadhi ya wazee wetu na wazee wa imani nyingine wameshiriki kuutafuta uhuru wa nchi hii." Amesema Sheikh Hassan Kabeke.

Kiongozi huyo pia wa imani amehimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye uchaguzi Mkuu ujao, akitaka Oktoba 29, 2025 kuwa siku ya Vikao vya familia ili kukumbushana umuhimu wa kupiga kura sambamba na masuala mengine ya kijamii na kuachana na baadhi ya hamasa za maandamano na ulinzi wa kura vituoni unaotolewa na baadhi ya wanasiasa kwenye Mitandao ya kijamii.

Katika hatua nyingine Kiongozi huyo wa dini amemtaja Dkt. Samia kama kiongozi hodari na aliyepokea nchi katika wakati ambao nchi iliandamwa na msiba na matatizo kadhaa ya kiuchumi, akiachiwa pia miradi mingi michanga iliyohitaji kuendelezwa, miradi ambayo sasa imekamilika na Taifa limeendelea kusalia tulivu, lenye amani pamoja na mshikamano.

Mwanamke lakini si kama mwanamke - What the heck is the meaning of this?
BAKWATA = CCM
BAKWATA ni aibu kwa uislamu.
 
Kama wanafuata hiyo Biblia unayoisema inakuaje wanaruhusu mashoga kwenda kuhiji vatican tena na bendera zao za upinde? au kwako hiyo ndio tafsiri ya kua na akili? hakuna cha kusema kanisa fulani,wagalatia ni wale wale tu,unatukana waislamu halafu wagalatia wenzako unawagawa kwenye makundi.
Mkuu, hold on please...!

Unasahau mwaka Jana hapo Kuna imamu wa msikiti wa mashoga kauawa hapo south Africa? Na alikuwa na wafuasi/waumini wengi tu ambao ni mashoga wa kiislamu?

Je, ni halali Tumtumie huyu Shehe/Imamu kuwa benchmark ya uislamu kuwa uislamu unabariki ushoga?

Kama jibu ni hapana,basi Iweje Vatican kusema mashoga Wana haki sawa na watahukumiwa na Mungu mwenyewe ionekano U-kristo wote una shida kama unavyotaka ionekane?

Mimi sijaona RC Tanzania wakisapoti kauli ya Pope Wala sijaona shoga yeyote mwenye kujitambulisha kama shoga kanisani.

Hujui kuwa walichofanya Roma ni kutokuwa wanafiki tu na kuruhusu hiyo jamii ifanye Ibadan kama kawaida kwa uwazi,ila ukweli ni kuwa Kuna waumini wengi mashoga wanaingia misikitini na makanisani kumwabudu Mungu huyo huyo mnayemwabudu? Means wameficha unafiki tofauti na RC.

Hata Yesu aliwakemea watu wanafiki akawaambia Ole wenu mnaosha kikombe nje ila ndani mmejaa uchafu!!

Anyways,

Nakwepaga sana mijadala ya hisia.

Ila ukweli utabaki ukweli,mashehe na wachungaji wa aina hii ni takataka wote!

Nikimsikiliza Sule,kishki wale wa bakwata na wachungaji dizaini hii nagundua ni hamnazo.
 
Huyo ni chawa wa mbogamboga,

Sheikh Ponda anasemaje juu ya hili?
 
Baraza la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza limewaelekeza waumini wake wa kufunga kwa maombi kuanzia Alhamisi ya Oktoba 23, 2025 hadi siku yatakapotangazwa matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025 na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi.

Akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza hilo Mkoa wa Mwanza Sheikh wa Mkoa huo wa Mwanza Hassan Kabeke amesema hatua hiyo inalenga kuiombea nchi amani na mshikamano, akisisitiza kuwa ni wajibu wa Kila Mtanzania kushiriki katika kuilinda amani hiyo ambayo imekuwa msingi wa maendeleo binafsi na ya Tanzania.

"Tarehe 23 Vituo vyetu vyote na misikiti yetu watafunga mpaka siku yatakapotangazwa matokeo. Ni maelekezo tumeyatoa. Hakuna kitu kigumu kama kukubali njaa lakini tutafunga kwaajili ya nchi hii kwani tunao wajibu wa kupigania amani ya nchi hii hasa kwa kurejea historia ya baadhi ya wazee wetu na wazee wa imani nyingine wameshiriki kuutafuta uhuru wa nchi hii." Amesema Sheikh Hassan Kabeke.

Kiongozi huyo pia wa imani amehimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye uchaguzi Mkuu ujao, akitaka Oktoba 29, 2025 kuwa siku ya Vikao vya familia ili kukumbushana umuhimu wa kupiga kura sambamba na masuala mengine ya kijamii na kuachana na baadhi ya hamasa za maandamano na ulinzi wa kura vituoni unaotolewa na baadhi ya wanasiasa kwenye Mitandao ya kijamii.

Katika hatua nyingine Kiongozi huyo wa dini amemtaja Dkt. Samia kama kiongozi hodari na aliyepokea nchi katika wakati ambao nchi iliandamwa na msiba na matatizo kadhaa ya kiuchumi, akiachiwa pia miradi mingi michanga iliyohitaji kuendelezwa, miradi ambayo sasa imekamilika na Taifa limeendelea kusalia tulivu, lenye amani pamoja na mshikamano.

Kwahiyo tunashtuka baada ya kuona uchawa hauna msaada kumsaidia aliyeturubuni kwa mengi,iwe hali,mazingira,msaada,vipato,madaraka,hadi ushawishi kupitia imani ama upaguzi na upendeleo anuai,akili sasa zinatutuma kumshirikisha Mungu!Sii vibaya Mungu ni msikivu hienda akatupatia kheri na kutuvusha salama!
 
Mkuu,

Unasahau mwaka Jana hapo Kuna imamu wa msikiti wa mashoga kauawa hapo south Africa? Na alikuwa na wafuasi wengi tu?
Hivi unaelewa hata unachokiandika lakini? Unasema imamu kauawa,sasa hapo huoni kua kauawa kwa ujinga wake,wakati nyie mmewakaribisha mpaka Vatikan kuhiji nao? Huyo hakua imamu,alipenyezwa tu na wasambaza uchoko kama wanavyozitumia ligi za mpira kuutangaza,ila kwenye uislamu wakapita nae,
Unajua kuwa Kwa asilimia kubwa usilamu aa magharibi umekuwa "diluted" na umagharibi? Tuuhukumu uislamu kama dini?

Tumtumie huyu kuwa benchmark ya uislamu kuwa uislamu unabariki ushoga?

Iweje Vatican kusema mashoga Wana haki sawa na watahukumiwa na Mungu mwenyewe ionekano U-kristo wote una shida? Mimi sijaona RC Tanzania wakisapoti kauli ya Pope Wala sijaona shoga yeyote mwenye kujitambulisha kama shoga kanisani.
Sasa wewe ulivyoutuhumu uislamu kwa kuitaja Bakwata ulifikiri Bakwata inaendesha uislamu Dunia nzima? Wewe umekurupuka na chuki zako tu kwenye uislamu ndio maana unajiuma uma tu wala huna chakujibu,
Anyways,

Nakwepaga sana mijadala ya hisia.

Ila ukweli utabaki ukweli,mashehe na wachungaji wa aina hii ni takataka wote!
Takataka ni hao wanaowauzia udongo,chumvi na mafuta wakiwaambia kua mtakua matajiri kimiujiza bila kufanya kazi,kama sio ujinga tu,
Nikimsikiliza sule,kishki wale wa bakwata na wachungaji dizaini hii nagundua ni hamnazo.
Machoko wamesharuhusiwa kuhiji Vatican,next year wahi mapema ukae na upinde wenzako.
 
Back
Top Bottom