Hawa watu wanatia kichefuchefu asee!!
Wawaelekezao wakati mwingine nao wamesha nunuliwa na mafisadi,sikilizeni mioyo yenu ,akili zenu,ufahamu wenu,na mafunzo ya kweli na haki katika imani yenu,ili mlikomboe taifa lenu, na kutenda yanayo mpendeza Mungu kweli na sii hadaa za kibinadamu na mawakala wa uovu!Baraza la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza limewaelekeza waumini wake wa kufunga kwa maombi kuanzia Alhamisi ya Oktoba 23, 2025 hadi siku yatakapotangazwa matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025 na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi.
Akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza hilo Mkoa wa Mwanza Sheikh wa Mkoa huo wa Mwanza Hassan Kabeke amesema hatua hiyo inalenga kuiombea nchi amani na mshikamano, akisisitiza kuwa ni wajibu wa Kila Mtanzania kushiriki katika kuilinda amani hiyo ambayo imekuwa msingi wa maendeleo binafsi na ya Tanzania.
"Tarehe 23 Vituo vyetu vyote na misikiti yetu watafunga mpaka siku yatakapotangazwa matokeo. Ni maelekezo tumeyatoa. Hakuna kitu kigumu kama kukubali njaa lakini tutafunga kwaajili ya nchi hii kwani tunao wajibu wa kupigania amani ya nchi hii hasa kwa kurejea historia ya baadhi ya wazee wetu na wazee wa imani nyingine wameshiriki kuutafuta uhuru wa nchi hii." Amesema Sheikh Hassan Kabeke.
Kiongozi huyo pia wa imani amehimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye uchaguzi Mkuu ujao, akitaka Oktoba 29, 2025 kuwa siku ya Vikao vya familia ili kukumbushana umuhimu wa kupiga kura sambamba na masuala mengine ya kijamii na kuachana na baadhi ya hamasa za maandamano na ulinzi wa kura vituoni unaotolewa na baadhi ya wanasiasa kwenye Mitandao ya kijamii.
Katika hatua nyingine Kiongozi huyo wa dini amemtaja Dkt. Samia kama kiongozi hodari na aliyepokea nchi katika wakati ambao nchi iliandamwa na msiba na matatizo kadhaa ya kiuchumi, akiachiwa pia miradi mingi michanga iliyohitaji kuendelezwa, miradi ambayo sasa imekamilika na Taifa limeendelea kusalia tulivu, lenye amani pamoja na mshikamano.
Hawa wa "kanisa la Fulani" ni wachumia tumbo kama viongozi wa kiislamu. Hawa hawana tofauti linapokuja swala la njaa. Alafu wote ni vilaza.GE2025 - Mchungaji Victoria: Tutapata wapi sadaka mkiandamana? Sisi tunaishi kwa kula sadaka
"Sisi Tunakula Sadaka, Maisha Yetu ni Sadaka” Mtumishi wa Mungu Mchungaji Victoria Joseph wa Life Center International Bible College pamoja na wengine wamesema kuwa wao kama viongozi wa dini, endapo amani itatoweka kutokana na kelele za mitandaoni, watakosa sadaka. Wakizungumza na waandishi wa...www.jamiiforums.com
Kama wanafuata hiyo Biblia unayoisema inakuaje wanaruhusu mashoga kwenda kuhiji vatican tena na bendera zao za upinde? au kwako hiyo ndio tafsiri ya kua na akili? hakuna cha kusema kanisa fulani,wagalatia ni wale wale tu,unatukana waislamu halafu wagalatia wenzako unawagawa kwenye makundi.Hawa wa "kanisa la Fulani" ni wachumia tumbo kama viongozi wa kiislamu. Hawa hawana tofauti linapokuja swala la njaa. Alafu wote ni vilaza.
Huwezi kuhubiri amani pasi na haki kama unajitambua kichwani.
Hata biblia inasema "amani ni tunda la haki".
Huwezi kusikia makanisa ya kitaasisi kama RC,KKKT au Anglican wakiongea hizi takataka.
Viongozi wa kiislamu walio katika mwamvuli wa bakwata na Hawa "kanisa la nabii Fulani" ni takataka.
Mwanamke lakini si kama mwanamke - What the heck is the meaning of this?Baraza la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza limewaelekeza waumini wake wa kufunga kwa maombi kuanzia Alhamisi ya Oktoba 23, 2025 hadi siku yatakapotangazwa matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025 na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi.
Akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza hilo Mkoa wa Mwanza Sheikh wa Mkoa huo wa Mwanza Hassan Kabeke amesema hatua hiyo inalenga kuiombea nchi amani na mshikamano, akisisitiza kuwa ni wajibu wa Kila Mtanzania kushiriki katika kuilinda amani hiyo ambayo imekuwa msingi wa maendeleo binafsi na ya Tanzania.
"Tarehe 23 Vituo vyetu vyote na misikiti yetu watafunga mpaka siku yatakapotangazwa matokeo. Ni maelekezo tumeyatoa. Hakuna kitu kigumu kama kukubali njaa lakini tutafunga kwaajili ya nchi hii kwani tunao wajibu wa kupigania amani ya nchi hii hasa kwa kurejea historia ya baadhi ya wazee wetu na wazee wa imani nyingine wameshiriki kuutafuta uhuru wa nchi hii." Amesema Sheikh Hassan Kabeke.
Kiongozi huyo pia wa imani amehimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye uchaguzi Mkuu ujao, akitaka Oktoba 29, 2025 kuwa siku ya Vikao vya familia ili kukumbushana umuhimu wa kupiga kura sambamba na masuala mengine ya kijamii na kuachana na baadhi ya hamasa za maandamano na ulinzi wa kura vituoni unaotolewa na baadhi ya wanasiasa kwenye Mitandao ya kijamii.
Katika hatua nyingine Kiongozi huyo wa dini amemtaja Dkt. Samia kama kiongozi hodari na aliyepokea nchi katika wakati ambao nchi iliandamwa na msiba na matatizo kadhaa ya kiuchumi, akiachiwa pia miradi mingi michanga iliyohitaji kuendelezwa, miradi ambayo sasa imekamilika na Taifa limeendelea kusalia tulivu, lenye amani pamoja na mshikamano.
Mkuu, hold on please...!Kama wanafuata hiyo Biblia unayoisema inakuaje wanaruhusu mashoga kwenda kuhiji vatican tena na bendera zao za upinde? au kwako hiyo ndio tafsiri ya kua na akili? hakuna cha kusema kanisa fulani,wagalatia ni wale wale tu,unatukana waislamu halafu wagalatia wenzako unawagawa kwenye makundi.
Kwahiyo tunashtuka baada ya kuona uchawa hauna msaada kumsaidia aliyeturubuni kwa mengi,iwe hali,mazingira,msaada,vipato,madaraka,hadi ushawishi kupitia imani ama upaguzi na upendeleo anuai,akili sasa zinatutuma kumshirikisha Mungu!Sii vibaya Mungu ni msikivu hienda akatupatia kheri na kutuvusha salama!Baraza la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza limewaelekeza waumini wake wa kufunga kwa maombi kuanzia Alhamisi ya Oktoba 23, 2025 hadi siku yatakapotangazwa matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025 na Tume huru ya Taifa ya uchaguzi.
Akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza hilo Mkoa wa Mwanza Sheikh wa Mkoa huo wa Mwanza Hassan Kabeke amesema hatua hiyo inalenga kuiombea nchi amani na mshikamano, akisisitiza kuwa ni wajibu wa Kila Mtanzania kushiriki katika kuilinda amani hiyo ambayo imekuwa msingi wa maendeleo binafsi na ya Tanzania.
"Tarehe 23 Vituo vyetu vyote na misikiti yetu watafunga mpaka siku yatakapotangazwa matokeo. Ni maelekezo tumeyatoa. Hakuna kitu kigumu kama kukubali njaa lakini tutafunga kwaajili ya nchi hii kwani tunao wajibu wa kupigania amani ya nchi hii hasa kwa kurejea historia ya baadhi ya wazee wetu na wazee wa imani nyingine wameshiriki kuutafuta uhuru wa nchi hii." Amesema Sheikh Hassan Kabeke.
Kiongozi huyo pia wa imani amehimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye uchaguzi Mkuu ujao, akitaka Oktoba 29, 2025 kuwa siku ya Vikao vya familia ili kukumbushana umuhimu wa kupiga kura sambamba na masuala mengine ya kijamii na kuachana na baadhi ya hamasa za maandamano na ulinzi wa kura vituoni unaotolewa na baadhi ya wanasiasa kwenye Mitandao ya kijamii.
Katika hatua nyingine Kiongozi huyo wa dini amemtaja Dkt. Samia kama kiongozi hodari na aliyepokea nchi katika wakati ambao nchi iliandamwa na msiba na matatizo kadhaa ya kiuchumi, akiachiwa pia miradi mingi michanga iliyohitaji kuendelezwa, miradi ambayo sasa imekamilika na Taifa limeendelea kusalia tulivu, lenye amani pamoja na mshikamano.
Hivi unaelewa hata unachokiandika lakini? Unasema imamu kauawa,sasa hapo huoni kua kauawa kwa ujinga wake,wakati nyie mmewakaribisha mpaka Vatikan kuhiji nao? Huyo hakua imamu,alipenyezwa tu na wasambaza uchoko kama wanavyozitumia ligi za mpira kuutangaza,ila kwenye uislamu wakapita nae,Mkuu,
Unasahau mwaka Jana hapo Kuna imamu wa msikiti wa mashoga kauawa hapo south Africa? Na alikuwa na wafuasi wengi tu?
Sasa wewe ulivyoutuhumu uislamu kwa kuitaja Bakwata ulifikiri Bakwata inaendesha uislamu Dunia nzima? Wewe umekurupuka na chuki zako tu kwenye uislamu ndio maana unajiuma uma tu wala huna chakujibu,Unajua kuwa Kwa asilimia kubwa usilamu aa magharibi umekuwa "diluted" na umagharibi? Tuuhukumu uislamu kama dini?
Tumtumie huyu kuwa benchmark ya uislamu kuwa uislamu unabariki ushoga?
Iweje Vatican kusema mashoga Wana haki sawa na watahukumiwa na Mungu mwenyewe ionekano U-kristo wote una shida? Mimi sijaona RC Tanzania wakisapoti kauli ya Pope Wala sijaona shoga yeyote mwenye kujitambulisha kama shoga kanisani.
Takataka ni hao wanaowauzia udongo,chumvi na mafuta wakiwaambia kua mtakua matajiri kimiujiza bila kufanya kazi,kama sio ujinga tu,Anyways,
Nakwepaga sana mijadala ya hisia.
Ila ukweli utabaki ukweli,mashehe na wachungaji wa aina hii ni takataka wote!
Machoko wamesharuhusiwa kuhiji Vatican,next year wahi mapema ukae na upinde wenzako.Nikimsikiliza sule,kishki wale wa bakwata na wachungaji dizaini hii nagundua ni hamnazo.