#COVID19 BAKWATA: Waliochanjwa UVIKO-19 mwaka mmoja au miaka miwili iliyopita hawataruhusiwa hijja hadi watakaporudia kuchanja

Wachanje haraka sn
 
Sisi hatuna wataalamu mkuu
 
Hapo ndio utajua ubaguzi wa waarabu, USA chanjo sio kigazo tena cha kuingia kwao
 
Wenye umri zaidi ya Miaka 65 hawaruhusiwi

"This year's pilgrimage will be limited to vaccinated Muslims under age 65, the hajj ministry has said.

Those coming from outside Saudi Arabia, who must apply for hajj visas, are required to submit a negative Covid-19 PCR result from a test taken within 72 hours of travel."
 
Sio kweli mbona chanjo ya ndui unachanja mara moja tu na inadumu maisha yote
Ziko hata za ugonjwa wa manjano nk mbona hukaa miaka kibao
Mtengeneza chanjo anaeleza umuhimu wa booster shot, anatokea mtu hajafanya utafiti wowote anasema chanjo hiyo ni ya maisha kama zilivo za ndui, manjano nk. Hii ndio nchi yetu ilipo!! sayansi dhidi ya imani, takwimu dhidi ya ubishi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…