Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachanje haraka snBaraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema waliochanjwa chanjo ya Uviko-19 mwaka mmoja au miaka miwili iliyopita hawataruhusiwa kwenda hijja hadi watakaporudia kuchanja chanjo hiyo.
Kauli hiyo imetolewa leo Jumamosi Juni 24,2022 na Mkurugenzi wa Hija wa Bakwata, Alhaj Haidari Kambwili, katika semina ya mahujaji inayofanyika ofisi za Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es Salaam ikiwa ni maandalizi ya wahusika kwenda nchini Saudi Arabia kuhiji.
Kwenda kuhiji katika mji Makka uliopo nchini Saudi Arabia kwa mwenye uwezo ni moja kati ya nguzo tano za uislamu.
Kambwili amesema miongoni mwa masharti wanayopaswa kuyafuata wanaotaka kwenda hija ni kuchanja saa 72 kabla ya kuanza safari.
Kambwili amesema utaratibu huo wameelekezwa na nchi ya Saud Arabia ikiwa ni mkakati endelevu wa nchi hiyo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19.
Source:Mwananchi
Sisi hatuna wataalamu mkuuWataalamu wa nje kama Dr Fauci wa marekani alisema hata waliochanja J&J wanaweza wakachanja chanjo zingine za Pfizer au Moderna kwa ajili ya Booster !! Lakini wataalamu wetu ndio sijawasikia kuhusu hii issue !! Tafadhali wajitokeze ili tukapate hizo booster !! Sisi wengine chanjo chanjo huwa hatuziogopi tunaogopaga vita tu kama vya UKRAINE maana vinatupandishia bei mahitaji yetu muhimu ya kila siku !!
Duh!Sisi hatuna wataalamu mkuu
Haya ni makanjanja tupuDuh!
Mtengeneza chanjo anaeleza umuhimu wa booster shot, anatokea mtu hajafanya utafiti wowote anasema chanjo hiyo ni ya maisha kama zilivo za ndui, manjano nk. Hii ndio nchi yetu ilipo!! sayansi dhidi ya imani, takwimu dhidi ya ubishi!!Sio kweli mbona chanjo ya ndui unachanja mara moja tu na inadumu maisha yote
Ziko hata za ugonjwa wa manjano nk mbona hukaa miaka kibao
World cup?Mabeberu Yana Nguvu Tayari Yamemaliza Jambo Lao Chap Chap