BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Wanawake wasomi wengi wa nchi hii hutokea mikoa ifuatayo;

1. Mbeya
2. Kagera

3. Mara

4. Kilimanjaro

5. Mwanza

6. Shinyanga

7. Iringa

8. N.k.
Kwa hio unataka kusema waliozaliwa Makunduchi ni namna gani au sio? Emu acha kua hivyo mkuu punguza kidogo basi hio tangawizi kwenye chai
 
Mindsets ya binti anayezungumziwa kuolewa ni tofauti kabisa na mindset ya binti anayetarajiwa ku-focus kwenye masomo.
 
Wote wanaoshabikia mtoto wa miaka 14 kuolewa kwa kigezo kwamba ameshakuwa, hiyo inaonyesha ni kwa jinsi gani wao pia waliolewa wakiwa kwenye huo umri hvy bado hawana akili za kujua madhara yake na kwakuwa Uislamu imejengwa kupinga elimu ya dunia hvy hawawezi kubadilika wakijua kufanya hvy ht kwa watoto wao ni sawa kwa alaah wenu.
 
Kwanza, huwezi kumkuta msichana mwenye miaka 14 anayejitahidi na kupata alama za juu shuleni anaingizwa kwenye hizo ndoa. Ila hao wasichana waliolelewa na wazazi wa Kiislamu wapumbavu ndio vilaza shuleni wanaingizwa kwenye huo upuuzi.
 
Elimu zao zinawabeba.

Hiyo ndio haki.

Sasa mtu form four failures Au kaunga certificates unategemea ataweza kufanya kazi za kimaamuzi Kwa usahihi?

Elimu ndio kila kitu !
Sijakuelewa mkuu unachanganya mavitu mengi kwenye kapu moja chambua kimoja kimoja afu kielezee
 
Sijakuelewa mkuu unachanganya mavitu mengi kwenye kapu moja chambua kimoja kimoja afu kielezee



Swali likikosewa kuulizwa hupelekea kujibiwa Kwa namna isiyo sahihi Pia!

Uliza maswali yako kwa usahihi upate majibu sahihi.
 
Kwa hiyo hilo litamzuia kufanya ngono huko mitaani tena na watu wazima?
Point yangu ni kuwa mtoto wa umri huo bado anahitaji malezi nasio yeye kuanza kutwikwa majukumu hayo mazito.
 
Umri wa miaka 14 wengi wanakuwa ndio wanamaliza darasa la 7 yaani elimu ya msingi.

Kwa hiyo utakuta wanaoenda sekondari ni wachache na huku wakijiona kuchelewa kuolewa.
Wakifika form four wanaishia hapo na kuolewa tena kwa kujiona kuchelewa.

Ukienda chuo kikuu ndio wachache sana sababu ya mindsets.

Na halikadhalika ukienda makazini wanakuwa wachache sana sababu walosoma hadi chuo kikuu ni wachache sana obviously.

Muwe mnaelewa basi msijisahaulishe na kusema Kuna upendeleo wa mfumo Kristo.
 
Hao Bakwata waolewe wao.
 
Nakazia, Yaani ni aibu sana mtu kuzungumzia suala la mapenzi na mtoto wa miaka 14, leave alone ndoa.

Ni mara nyingi sana tunawaambia watu humu wazae kwa mpangilio na wazae watoto watakao wamudu kuwatunza.


Katika hali ya kawaida kumuozesha mtoto wako wa miaka 14 ni kukwepa majukumu, hata kama ndio amefeli shule au hataki shule wewe kama mzazi hauna namna nyingine ya kuongea nae zaidi ya kumsukumizia kwa mwanaume mwingine akaolewe? (practically akalelewe na mwanaume mwingine)
Hata kama ameanza mapenzi ndio unamuoza kwa huyo aliyeanza nae mapenzi au unamuoza kwa mwingine, nani huyo mwingine anayetaka kuoa mtoto wako mdogo aliyeanza mapenzi katika umri mdogo? Inamaana unakuwa unazurura huku na kule kuwinda anayelala na mwanao ili uwafungishe ndoa au mtoto wako anakuja kukuambia kuwa fulani anataka kunioa? Sielewi elewi hii inafanyaje kazi.

Na ninyi mnaoshikilia bango hili jambo ni akina nani jitambulisheni tuwafahamu, ni wazazi au ni waoaji wenyewe.

Acheni kukwepa majukumu, lea mtoto hadi atakapojitambua na kujitegemea ndio akaolewe/Aoe.
 
Tena kwa dunia ya leo hata akivunja ungo 12, aolewe tu.

Maana wanawake wengi kuliko wanaume, wanaume wenyewe ushoga mwingi wanataka kuolewa wao.

Waliobaki ndiyo hivyo, vumbi la kongo, supu ya pweza, khaa! inahusu nini kutiana shombo.
Unaweza kuta huyu ndio mmoja kati ya members wa "think tank" ya BAKWATA. What a waste!

Wanao wakitombwer wakiwa na miaka 12 huko madrassa inatosha, sisi wengine hatutaki huo uharibifu kwa wanetu. Sheria za kipumbavu zilizowekwa na wapumbavu hazina nafasi kwenye jamii ya watu wanaojielewa.

Tafuteni nchi yenu mtakayoweka hizo sheria za kipuuzi, sio hii Tanzania!
 
Kitu kikifanyika kwenye hizo nchi lazima kiwe sahihi na kifanyike katika nchi zingine zote?

Ndoa za utotoni ni topic ya dunia na wengi wanaipinga, iweje ninyi mturudishe zama za mawe za kale na bakwata yenu .
 
Kwa jinsi ulivyo mpumbavu, unamzungumzia mtu ambaye amefungwa kwa makosa ya kuwadhalilisha watoto kingono kitu ambacho nyie Waislamu wapumbavu ndicho mnachokifanya.

Pumbavu Mlegezo ww
Shida ya baadhi ya upande wenu hamuna hoja zaidi ya matusi , eti kamdhalilisha mbona hyo Aaliyaa mpaka anakuwa msanii mkubwa hakuwahi kumshtaki au kulalamika sehemu?????, au mbona walivyo vamia hilo gheto alikuwa aki ziniwa hyo Aaliya hakutoa ushirikiano ?, eti wewe unajiita upo timamu kiakili , ok ni hv staki matusi na mtu isipokua na changia mada tu pia huna hoja yenye mashiko hata ukifungua kitabu chako cha dini ktk swala la hili auto faulu . Leave me na chukua tyme yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…