BAKWATA yataka CASINO ya Palm Village ifungwe, inaleta Usumbufu kwa Viongozi Wastaafu

[ Unaijua cassino ndugu yangu? Umewahi kuingia kwenye cassino ukajionea yanayofanyika?
 
Ni kupoteza welekeo kama chimbo cha dini.
 
wewe umri wako mbona bado mdogo kusoma unajua lakini kilicho andikwa ukijui hapo bakwata awakuongelea dini bali wame wasemea wasotafu sasa wewe unakuja na habari za vipaza sauti mala wahamie zanzibar au chuki inakusumbua? kwa sababu ukitaka kuona chuki ya watu waka hoja inayohusu waisilamu hata kama niaya msigi baadhi yenu wakirisito chuki mnayo bwana he he he
 
Mashekh wanapata kero gani ndugu yangu? Cassino ni sehemu iliyotulia unaweza kupita na usijue kama kuna cassino,hao bakwata itakuwa wana bifu na hiyo cassino
 
Hivi hawajaona matangazo ya kamari waziwazi mpaka katika redio na televishen ya taifa mpaka wakakemee kitu ambacho hakibugudhi umma zaidi ys watu wachache wa eneo hilo,waache kudeal na vitu vidogovidogo vya kushughulikiwa na serikali za mitaa!
kama wameenda serikali za mtaa bila kusikizwa wafanyeje?mfano huko serikali za mitaa kama wewe ndie mwenyekiti kwa hiyo roho yako ilivio mbona ugewapuuza tu kisa masheikh
 
Kwanini wastaafu wasizungumze wenyewe mpaka wasemewe na Bakwata?
Casino hakuna kelele mambo yao ni ya kimya kimya tu. Wao hawaoni vipaza sauti vyao vinavyopiga kelele asubuhi?
 
Labsa wanaotete baraza lao waje watujibi tuelewe kwanza Casino zinaleta usumbufu gani kwa hao wastaafu na familia zao..

Je hao wastaafu na Familia zao wameomba wasaidiwe kusemewa au ndio kujipendekeza kwa mwendo kasi?
 
Hao wastaafu Hadi Sasa wanafanya nn mjini DSM kwani hawana vijij walivyotoka wakaishi huko wapishe vijana wa kisasi kipya
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi wa kiislam umejuaje yanayoendelea kwenye casino? Mimi tu sio mkamilifu ila sijawahi kuingia casino, sijui yanayoendelea na sitaki kujua na wala hainisumbui. Na nyie ndo mmenifahamisha kuna casino maeneo hayo. Au ni biashara mnatangaza?
 
Si kuna mashamba huko kandokando ya mji! Amestaafu alafu anafanya nini mjini!!?
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usumbufu gani!? Aliyewahi kusikia casino lolote hapa Tanzania linaleta usumbufu kwa watu wanaozunguka eneo hilo atuambie hapa..usumbufu uwe either mziki mkubwa au fujo za walevi...
AISEE HATA MIMI WAMENIACHA NA BUTWAAA KABISA HAWA BAKWATA.
 
Huu sasa ni upuuzi,hao bakwata wana tumia sheria gani kutoa tamko? Hizi dini zifanye kazi ya ibada huko kwingine ni kuanza kuleta chokochoko.
We mkazi wa Mbagala kwa nyoka mmeshaozoea kelele na ukahaba kwenye makazi yenu
 
Bakwata ni ofisi ya waislam na sio msikiti,,

Waache mambo ya kipuuzi..

Mbona hawajawahi kukemea matangazo mbalimbali ya Kamari yanayotangazwa redioni na kwenye TV..

Kama ni kwl wameguswa na Kamari.

Shame on you Bakwata.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…