BAKWATA yataka CASINO ya Palm Village ifungwe, inaleta Usumbufu kwa Viongozi Wastaafu

BAKWATA yataka CASINO ya Palm Village ifungwe, inaleta Usumbufu kwa Viongozi Wastaafu

Huu sasa ni upuuzi,hao bakwata wana tumia sheria gani kutoa tamko? Hizi dini zifanye kazi ya ibada huko kwingine ni kuanza kuleta chokochoko.
Miongoni mwa Kazi za Ibada ni katika kusimamia Maadili..! Kwahivyo ni kosa kuita upuuzi.
 
Maadili wasimamie hao watu wa dini yao wenyewe. Hakuna mtu anaelazimisha mwenzie kwenda casino wala casino hazim-bugudhi mtu yyte yule..

Sent using Jamii Forums mobile app
We mbona kama huelewi hoja? Hilo Casino limewekwa sehemu ambayo inaleta Kero kwa Wakazi wa Mikocheni, zamani halikuwepo.

Suala lililopo, adhia Casino liondolewe au Wakazi wa eneo hilo wahame kitu ambacho si rahisi kwa Wakazi kuhama.

Hospitali ya Moyo Kinondoni ilihama kutokana na mazingira ya kuwepo matamasha ya mziki kila wiki pale Leaders Club wakawaachia mambo yao.
 
Sasa casino inaleta kero gani jamani? Au hao wanaokataza hata hawajui casino ni nn... casino hazina kelele wala hazina bugdha ya aina yeyote ile. Labda kama ni "casino & bar". Na kama case ni hio basi " bar" iondolewe yenyewe, casino inaweza kubaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachungaji hawana muda wa kukemea dhambi wao mahubili yao ni kufanikiwa tu katika maisha hya, so hawawezi kulalamika.
Dhambi ni nyingi mno. Aina mbalimbali. Ikemewe Ipi na Ipi iachwe? Tuko duniani Dhambi hazikwepeki. Kamari si Watu wanajitafutia Rizik?
 
Back
Top Bottom