JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Allahu AkbarTakbir
Islam
Hata mimi nimeuona upotevu hapo...upotevu wa sikukuu
Hivi ni wenyewe wanapanga au zinajipanga zenyewe?Hata mimi nimeuona upotevu hapo...
Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa Sikukuu ya Eid El-Adh’haa inatarajiwa kuwa Jumapili Julai 10, 2022 ambapo sherehe za kitaifa zitafanyika Dae es Salaam.
Katibu Mkuu wa BAKWATA, Nuhu Mruma ameeleza kuwa swala ya Eid itaswaliwa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI, Kinondoni ikifuatiwa na Baraza la Eid baada ya Swala.
Ingependezea zaidi tarehe 8/7!!!Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa Sikukuu ya Eid El-Adh’haa inatarajiwa kuwa Jumapili Julai 10, 2022 ambapo sherehe za kitaifa zitafanyika Dae es Salaam.
Katibu Mkuu wa BAKWATA, Nuhu Mruma ameeleza kuwa swala ya Eid itaswaliwa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI, Kinondoni ikifuatiwa na Baraza la Eid baada ya Swala.