BAKWATA yatangaza sikukuu ya Eid El Fitri kuwa kesho Jumatatu

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuandama kwa mwezi leo Jumapili Machi 30, 2025 hivyo swala ya Idd El Fitri itafanyika kesho Machi 31, 2025.

Taarifa iliyotolewa na Bakwata katika mitandao ya kijamii leo Machi 31, 2025
imeeleza:

"Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir leo ameutangazia umma wa Kiislam Tanzania kwamba leo siku ya Jumapili mwezi umeandama na umeonekana maeneo mbalimbali nchini. hivyo kesho siku ya Jumatatu ni sikukuu ya Idd."

IMG_0769.jpeg

Source: Mwananchi
 
Hongereni sana BAKWATA mmewatendea haki watumishi wa umma, watesalonike nao waige mfano huo
 
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuandama kwa mwezi leo Jumapili Machi 30, 2025 hivyo swala ya Idd El Fitri itafanyika kesho Machi 31, 2025.

Taarifa iliyotolewa na Bakwata katika mitandao ya kijamii leo Machi 31, 2025
imeeleza:

"Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir leo ameutangazia umma wa Kiislam Tanzania kwamba leo siku ya Jumapili mwezi umeandama na umeonekana maeneo mbalimbali nchini. hivyo kesho siku ya Jumatatu ni sikukuu ya Idd."

View attachment 3288053

Source: Mwananchi
Kwa iyo kesho tunalula ule wali wenye kuni😆
 
Wavaa kobazi na msuli, msisahau kuwa tar 20 ni Pasaka, sasa nyie jikausheni, tusilaumiane baadae.

😂😂😂😂😂
 
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetangaza kuandama kwa mwezi leo Jumapili Machi 30, 2025 hivyo swala ya Idd El Fitri itafanyika kesho Machi 31, 2025.

Taarifa iliyotolewa na Bakwata katika mitandao ya kijamii leo Machi 31, 2025
imeeleza:

"Muft na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir leo ameutangazia umma wa Kiislam Tanzania kwamba leo siku ya Jumapili mwezi umeandama na umeonekana maeneo mbalimbali nchini. hivyo kesho siku ya Jumatatu ni sikukuu ya Idd."

View attachment 3288053

Source: Mwananchi
Pilau wapi?
 
Back
Top Bottom