BAKWATA yawataka Watanzania kukataa ndoa za jinsia moja, Mufti ashangazwa wanaume kulawitiana ilhali wanawake wa kuolewa wapo

BAKWATA yawataka Watanzania kukataa ndoa za jinsia moja, Mufti ashangazwa wanaume kulawitiana ilhali wanawake wa kuolewa wapo

Mufti wa Tanzania, Abubakar Zuberi ameshangazwa na watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kutokemewa lakini badala yake wanalindwa na kutafutiwa uhalali wa ndoa akiwataka Watanzania wote kulaani na kukataa ndoa za jinsia moja nchini. Mufti alitoa hadithi ya nabii Lut ambapo jamii yake ilishiriki vitendo vya jinsia moja na miji yao kupinduliwa juu chini.

Mufti amesikitishwa na wanaume kuingilia wanaume wenzao ilhali wanawake wapo akidai ni muujiza mkubwa watu hao leo kupewa nafasi na kuwa huru ikionekana jambo la kawaida. Mufti anasema si sawa vitendo hivyo kufundishwa mashuleni.

Mi nimependa tu jinsi background ya alipokaa Mh. Mufti inavyotangaza gharama ya kwenda Makkah kuhiji. Dini ni biashara wakuu. Muwe mnaelewa.
 
Kikawaida Jambo lolote liwe zuri ama baya mara nyingi huanzia maeneo ya mijini na baadae kusambaa maeneo mingine. Kwa TZ haliwezi pingika kuwa Maeneo ya Pwani ndio maeneo yaliyotangulia ustaarabu na maendeleo kiujumla, Kwa hiyo hata adoption za mambo mabaya ni wazi yataanzia huko. Hilo halina mahusiano yoyote na Uarabu wala Uzungu bali ni athari za utandawazi.
Na ukiacha pwani utaona Arusha nayo imeathirika Sana ..Wana international airport...wanaingiliana na wageni...Wana adopt mazuri na mabaya ya wageni wanakuja hasa watalii
 
Na ukiacha pwani utaona Arusha nayo imeathirika Sana ..Wana international airport...wanaingiliana na wageni...Wana adopt mazuri na mabaya ya wageni wanakuja hasa watalii

wanaporusha shutuma huko Arusha hufanya kama hawapaoni, Wao huelekeza shutuma Dar na Zanzibar tu
 
Mufti wa Tanzania, Abubakar Zuberi ameshangazwa na watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kutokemewa lakini badala yake wanalindwa na kutafutiwa uhalali wa ndoa akiwataka Watanzania wote kulaani na kukataa ndoa za jinsia moja nchini. Mufti alitoa hadithi ya nabii Lut ambapo jamii yake ilishiriki vitendo vya jinsia moja na miji yao kupinduliwa juu chini.

Mufti amesikitishwa na wanaume kuingilia wanaume wenzao ilhali wanawake wapo akidai ni muujiza mkubwa watu hao leo kupewa nafasi na kuwa huru ikionekana jambo la kawaida. Mufti anasema si sawa vitendo hivyo kufundishwa mashuleni.

uzinzi haramu ushoga haramu kamari haramu ukahaba haramu riba haramu kifisadi mali za wanyonge haramu nk
 
Naungana na Bakwata kupiga marufuku mahusiano ya Jinsia moja
ushoga akumi kwa makatazo ya mdomo tu,ukahaba ulio enea kila kuna ya nchi mbona amuogelei au wanawake kugeuza miili yao daladala ni halali?
 
Mufti angemalizia tu kauli yake kwamba wanawake wawape tako wanaume kama ndio shida yao.
Chafya...[emoji1784]
JamiiForums212693510.jpg
 
Warumi 1:24
Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao.

Warumi 1:25
Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidiwa milele. Amina.

Warumi 1:26
Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili;

Warumi 1:27
wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.

Warumi 1:28
Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.

Warumi 1:32
ambao wakijua sana hukumu ya haki ya Mungu, ya kwamba wayatendao hayo wamestahili mauti, wanatenda hayo, wala si hivyo tu, bali wanakubaliana nao wayatendao.
Kuna Wapumbavu wa imani ile huwa wanakuja na mihemuko humu JF kudhihaki Ukristo kuwa umehalalisha USHOGA, narudia tena ni WAPUMBAVU.
 
Haya majimama kwa usomi wao na kuishi bila waume wana impose ujinga na kuporomosha maadili ya ndoa. Kwanza yenyewe yanazaa watoto na kulea wenyewe bila baba matokeo yake ndiyo haya madhara ya watoto kukosa malezi ya wazazi wote wawili. Hawa wasomi wanakosa agenda za maana wanaanza kuingilia mambo nyeti ya kijamii kama ndoa kwa kubomoa misingi yake. Wameharibu mila na desturi za jamii zilizojiwekea kulinda maadili yao ya ndoa kwa kuendesha kampeni za ajabuajabu na kusabisha kutungwa kwa sheria za aibu. Leo mambo yameharibika hawana pa kujificha wamebaki kutatapa na kutafuta wa kumtupia lawama
.
 
yule ustaz muzenji polisi kawaangusha sana kina Faiza Fox, hawana hata la kusema. Zanzibar ni sehemu chafu sana miaka yote, lakini watu huwa wanapenda kufichaficha ukweli. hii ndio maana hata huku bara ukiona mpemba amehamia kuishi sehemu watu huwa wanalinda watoto wao wa kiume kuliko chochote, na wanawake wengi wanaotembea na wapemba inasemekana wanapinduliwa samadi. bahati mbaya wamechangamana na utamaduni wa kiarabu ambao unaabudu sana nyuma kuliko mbele, asiye jua hata bikra huwa za mbele tu ni nani? inajulikana. kama ulishawahi kutembea na mwanamke wa kiarabu ipo wazi, akipiga chuma mboga unapaona kabisa pako helpless pashachakazwa pamoja na uzuri woote wa sura. wanahitaji msaada. ajabu yake sasa, watalii ndio wanaongezea zaidi na zaidi. usishangae huyo afande akapata uraia ulaya kwa kujifanya mkimbizi. Mungu yuo malangoni kuja kuihukumu hii dunia muda si mrefu, uovu umezidi sana.
 
Back
Top Bottom