Balaa: Kenya yafikia hatua ya kuwala watoto wadogo ili kukabiliana na njaa

Your dp loot more than 7 billion of dams for food farming ndio maana mna njaa, you eat children
Haha kenya hakuna njaa and hakuna mtu amekulwa brotherman sijui hizo news umetoa wapi,Turkana ndo kuna njaa na washashughulikiwa,Na this is africa political leaders steal money hata tanzania hata South africa hata Nigeria so its not like its a new thing,this is africa we dont have true leaders,like Mandela,nyerere,kibaki etc
 
Turkana, Bungoma na counties nyingine 10 ni za nchi gani?
 
Turkana, Bungoma na counties nyingine 10 ni za nchi gani?
Hizo zilikuwa estimates,ilikuwa ni kama warning haimean kuna njaa ni government ime worn tu eary in advance ndo county government wajipange,Turkana ndo kwenye njaa,fikiria tu Bungima watakuwa aje na njaa na wana mahindi kwanza mob sana shida ya Turkana ni oflate kumekuwa dry sana hata mvua haijakuwa
 
Unatakiwa tu kukubali njaa ni dominant problem Kenya, kama sio hivyo isingekua number one factor kwenye the big 4 agendas za taifa lenu, ni kama CCM iweke the first priority kwenye uchaguzi 2020 kua ni chakula, that will be insane sababu hakuna tatizo la chakula Tanzania
 
Food security inasimamia vitu mingi my brother,haimean mambo na njaa,prices ziko ndani etc,eeeh sijui nyi huelewa aje English,Food security ni Agenda moja but haimean ati staff na njaa tu,na btw hata huko Tz kuna watu hulala njaa na bdo mnasema mnachakula,ebu kaangalie poverty index yenu na u compare that with kenyan,utajihurumia,nyi mnasema mnachakula na yet watu wengi East africa wanalala njaa compared to kenyans,
 
poverty index ?
 
English is a fat problem to you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…