Latimore Mimo wangeci
JF-Expert Member
- Feb 1, 2019
- 898
- 1,081
Ka sasa kenya ni worst society ever,je Tanzania ni?Worst society ever
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ka sasa kenya ni worst society ever,je Tanzania ni?Worst society ever
Haha kenya hakuna njaa and hakuna mtu amekulwa brotherman sijui hizo news umetoa wapi,Turkana ndo kuna njaa na washashughulikiwa,Na this is africa political leaders steal money hata tanzania hata South africa hata Nigeria so its not like its a new thing,this is africa we dont have true leaders,like Mandela,nyerere,kibaki etcYour dp loot more than 7 billion of dams for food farming ndio maana mna njaa, you eat children
Turkana, Bungoma na counties nyingine 10 ni za nchi gani?Haha kenya hakuna njaa and hakuna mtu amekulwa brotherman sijui hizo news umetoa wapi,Turkana ndo kuna njaa na washashughulikiwa,Na this is africa political leaders steal money hata tanzania hata South africa hata Nigeria so its not like its a new thing,this is africa we dont have true leaders,like Mandela,nyerere,kibaki etc
Hizo zilikuwa estimates,ilikuwa ni kama warning haimean kuna njaa ni government ime worn tu eary in advance ndo county government wajipange,Turkana ndo kwenye njaa,fikiria tu Bungima watakuwa aje na njaa na wana mahindi kwanza mob sana shida ya Turkana ni oflate kumekuwa dry sana hata mvua haijakuwaTurkana, Bungoma na counties nyingine 10 ni za nchi gani?
Unatakiwa tu kukubali njaa ni dominant problem Kenya, kama sio hivyo isingekua number one factor kwenye the big 4 agendas za taifa lenu, ni kama CCM iweke the first priority kwenye uchaguzi 2020 kua ni chakula, that will be insane sababu hakuna tatizo la chakula TanzaniaHizo zilikuwa estimates,ilikuwa ni kama warning haimean kuna njaa ni government ime worn tu eary in advance ndo county government wajipange,Turkana ndo kwenye njaa,fikiria tu Bungima watakuwa aje na njaa na wana mahindi kwanza mob sana shida ya Turkana ni oflate kumekuwa dry sana hata mvua haijakuwa
Food security inasimamia vitu mingi my brother,haimean mambo na njaa,prices ziko ndani etc,eeeh sijui nyi huelewa aje English,Food security ni Agenda moja but haimean ati staff na njaa tu,na btw hata huko Tz kuna watu hulala njaa na bdo mnasema mnachakula,ebu kaangalie poverty index yenu na u compare that with kenyan,utajihurumia,nyi mnasema mnachakula na yet watu wengi East africa wanalala njaa compared to kenyans,Unatakiwa tu kukubali njaa ni dominant problem Kenya, kama sio hivyo isingekua number one factor kwenye the big 4 agendas za taifa lenu, ni kama CCM iweke the first priority kwenye uchaguzi 2020 kua ni chakula, that will be insane sababu hakuna tatizo la chakula Tanzania
poverty index ?Food security inasimamia vitu mingi my brother,haimean mambo na njaa,prices ziko ndani etc,eeeh sijui nyi huelewa aje English,Food security ni Agenda moja but haimean ati staff na njaa tu,na btw hata huko Tz kuna watu hulala njaa na bdo mnasema mnachakula,ebu kaangalie poverty index yenu na u compare that with kenyan,utajihurumia,nyi mnasema mnachakula na yet watu wengi East africa wanalala njaa compared to kenyans,
English is a fat problem to youFood security inasimamia vitu mingi my brother,haimean mambo na njaa,prices ziko ndani etc,eeeh sijui nyi huelewa aje English,Food security ni Agenda moja but haimean ati staff na njaa tu,na btw hata huko Tz kuna watu hulala njaa na bdo mnasema mnachakula,ebu kaangalie poverty index yenu na u compare that with kenyan,utajihurumia,nyi mnasema mnachakula na yet watu wengi East africa wanalala njaa compared to kenyans,
Wewe hakuna kitu unaelewa in English hata moja.English is a fat problem to you
Wee nilisema sitawai argue na wewe sawa boss,wewe ndo unajuaEnglish is a fat problem to you
Huyu nampatia boy wa grade one ama pre unit ndo wanaezana na yeye,Thinking yake iko chini
That's way too expensive than our local price here!.njooni mnunue mahindi huku tz, kg 100 ni ksh 5000, tu .