Balaa: Kenya yafikia hatua ya kuwala watoto wadogo ili kukabiliana na njaa

Balaa: Kenya yafikia hatua ya kuwala watoto wadogo ili kukabiliana na njaa

... fisadi uhuru na ruto wana waaibisha wakenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaingilia wapi hapa,Governors,Mp,mcas wa Turkana ndo wanafaa watuambie pesa za wananchi walipeleka wapi?juu kila county huoewa pesa and i think Turkana hupata pesa mob than other counties,before ufuke kwa Dp na president maswali inafaa kujibiwa na county government ya Turkana brotherman inakaa hujui politics[emoji85]
 
Ni kama unataka kusema kenya hakuna njaa.
Point of correction kenya hakuna njaa ni Turkana a county in kenya kwenye kuna njaa,na hakyna mtu amekula mtu[emoji1] [emoji1] [emoji115] article ilimaanisha hizo graves hao watu wamekufa juu ya njaa,lakini hakuna mtu amekula mtoto etc,na btw washapewa chakula,Akothee alikuwa huko ,sonko na watu kadhaa and i think sai wako poa
 
Mkuu sio kwamba wakenya wanakula watu..., Bali Kenya kama nchi inaua watoto wake (wananchi) kwa bad planning.., its a figure of speech
 
Haha;bro najua haujamaanisha [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],ur betta than this...Ila wakenya Ilo tatizo lenu mnalitatuaje...kwann hamko active kwenye mambo ya aibu kama haya, mnasubir wenZenu wafe Au

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 Nimeamua kuwatoa povu wakenya, na limewatoka haswa kama lile la nusu bei jana.
 
Wanaingilia wapi hapa,Governors,Mp,mcas wa Turkana ndo wanafaa watuambie pesa za wananchi walipeleka wapi?juu kila county huoewa pesa and i think Turkana hupata pesa mob than other counties,before ufuke kwa Dp na president maswali inafaa kujibiwa na county government ya Turkana brotherman inakaa hujui politics[emoji85]
Nadhani Food security ni jukumu la serikali kuu siyo county goverment.Sidhani county goverment inayo uwezo wa kugharamia mradi mkubwa wa irrigation (Turkana is semi desert )
 
Kiingereza taabu -manama halisi ya article ni Kenya imewatosa wanawe (wananchi) wafe na njaa.
Nimeisoma article nzima, ndio maana nikaleta tu hizo hints na sio article yote ambayo ilikuwa inaeleza kwa undani, after all sometimes we're joking here, it is so used to be.
 
Nadhani Food security ni jukumu la serikali kuu siyo county goverment.Sidhani county goverment inayo uwezo wa kugharamia mradi mkubwa wa irrigation (Turkana is semi desert )
Hio tu ni part of Big 4 agenda ya national government but hio county ili pewa pesa mob sana na usisahau iko na population ndogo so governor angekam uo na ways za ku ensure hii pesa juu shida yao kubwa ni food,umeenda kwa chakula,Kitui hakukua na maji lakini tembea huko sasa governor wa huko ameleta maji mbaya na kujenga boreholes,si kila kitu kutegemea national government,hio ndo maana kuna county government bro
 
Back
Top Bottom