Balaa la Harmonize Masasi

Balaa la Harmonize Masasi

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Vijana kwa kweli wanakimbiza
 
Owky boss
Hayo ni mawazo finyu na siyo ya fadhila.
Unaweza ukawa bahili husaidii watu kwa kuhofia kesho, ukavamiwa pesa zako zikachukuliwa unakufa.

Hofu ya kesho inawafanya watu wanakuwa makatili na wanaua wengine. Hakuna aijuae kesho.
 
ahahaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usilie basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kivipi mkuu !!! wewe ndo umepanic kwanini labda usiwaze hawa vijana siku moja wataanza kuassemble dreamliner wewe ni negativity tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hoja ipi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nililie nini we jibu hoja acha kukimbia
 
Back
Top Bottom