Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya maisha leo, kesho hatuijui.
Hayo ni mawazo finyu na siyo ya fadhila.Kesho tutaomba misaada ya matibabu
Na uteja ukinyemelea kwa ukaribuKesho tutaomba misaada ya matibabu
Hayo ni mawazo finyu na siyo ya fadhila.
Unaweza ukawa bahili husaidii watu kwa kuhofia kesho, ukavamiwa pesa zako zikachukuliwa unakufa.
Hofu ya kesho inawafanya watu wanakuwa makatili na wanaua wengine. Hakuna aijuae kesho.
ahahaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo ni mawazo finyu na siyo ya fadhila.
Unaweza ukawa bahili husaidii watu kwa kuhofia kesho, ukavamiwa pesa zako zikachukuliwa unakufa.
Hofu ya kesho inawafanya watu wanakuwa makatili na wanaua wengine. Hakuna aijuae kesho.
Pesa gani inayofujwa hapo maana sijaona kama alikuwa anatupa hela?Hii pesa wanayoifuja kwa sasa ipo siku wataikumbuka sana
Naona mambo ya dua la kuku yamekujaa kichwaniHii pesa wanayoifuja kwa sasa ipo siku wataikumbuka sana
Naona mambo ya dua la kuku yamekujaa kichwani
Kivipi mkuu !!! wewe ndo umepanic kwanini labda usiwaze hawa vijana siku moja wataanza kuassemble dreamliner wewe ni negativity tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona umepanic
Kivipi mkuu !!! wewe ndo umepanic kwanini labda usiwaze hawa vijana siku moja wataanza kuassemble dreamliner wewe ni negativity tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usilie basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nililie nini we jibu hoja acha kukimbia