yorkshire
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 2,525
- 3,139
Kwani nini ulichoanzisha au umekuwa kipofu ghafla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hoja ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nini ulichoanzisha au umekuwa kipofu ghafla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hoja ipi?
Hii pesa wanayoifuja kwa sasa ipo siku wataikumbuka sana
Pesa gani inayofujwa hapo maana sijaona kama alikuwa anatupa hela?
Naona mambo ya dua la kuku yamekujaa kichwani
Kivipi mkuu !!! wewe ndo umepanic kwanini labda usiwaze hawa vijana siku moja wataanza kuassemble dreamliner wewe ni negativity tu
Kuna watu wanaumia sana mioyoni wakiona hivi na wengine tunakuwa inspired sana tukiona hivi. Point ya msingi, ukipata nafasi itumie kama vile hautaipata tena. Tunaishi mara moja tu. Kudos WCB na wapambanaji wengine
Fanya yako mkuu yao hayakuhusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani nini ulichoanzisha au umekuwa kipofu ghafla
Mwambiy chapati uyo
Dada Mimi nilishakwambia achana na chuki utakuja kuwa mchawi ebhu ona sasa watu wanavyokushukia kama mwewe. Watu wanakushangaa kwanini una roho mbaya kwa hawa vijana wanaojitafutiaUsilie basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni msanii bora tanzania kwa mwaka huu hata diamond hajafanya aliyofanya kondeboyHarmonize niwakusini... ndo msani bora kutoka ukoo ..
Num ukipigwa usitutafute kaka zako 😀😀😀Nikumbushe nimesahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Num ukipigwa usitutafute kaka zako 😀😀😀
Dada Mimi nilishakwambia achana na chuki utakuja kuwa mchawi ebhu ona sasa watu wanavyokushukia kama mwewe. Watu wanakushangaa kwanini una roho mbaya kwa hawa vijana wanaojitafutia
Haya bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bradha bana,nachangamsha uzi tu
inafaa kuyasema hayo ikiwa kama ujawasaidia kutafuta acheni kuwapangia watu matumiziHii pesa wanayoifuja kwa sasa ipo siku wataikumbuka sana
inafaa kuyasema hayo ikiwa kama ujawasaidia kutafuta acheni kuwapangia watu matumizi
Anajichekesha tu.. mchumba huyoKwani nini ulichoanzisha au umekuwa kipofu ghafla