Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
Gari langu la kwanza lilikuwa ni carina niliipenda sana muda mwingi kivulini nalifuta vumbi na kitambaa laini, smtms naliangalia mpaka natabasam 😁 automatically
Laaaahaulaa balaa siku hiyo nimelewa mwamba akanimbia niazimishe ndinga nakuletea chapu kwa wenge la konyagi nikampa.(siazimagi la mtu wala sipendi kutoa gari langu)
Kesho yake napata taarifa mwamba kapinduka,kwenda mcheki yupo ICU.
Kwenda tazama ndinga daaaah! gari limepondeka kiasi kwamba unaweza kulibeba katika jaba 😂😂
Je ulishawahi kupata balaaa gani baada ya kuazima/ kuazimisha gari.. share nasi