Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
- Thread starter
- #21
Mi namwagia lote ndani nafuta stelling kwa maji hayo, then safari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka itakuwa inakimbia hiyo balaa.Unanyunyiza ukiwa umechanganya na maji nje na ndani ama vipi mkuu nijazie nyama kidogo nsije nkajikuta natia Hadi kwenye Engine.
Tajiri wa bus ukiona analia halii kwa sababu ya abiria ila hiyo mali yake nyie hata mfe wote potelea karibuNn kilikuumiza zaidi? Rafiki yako kuwa icu au gari lako 😀 .
Mkuu hata baiskel hujawahi azima/azimisha ikarudi na pancha kibaoHuu ndio uzuri wa Jf, na kila mtu anamiliki ndinga.... sasa tusio na magari tunakomenti wapi..😎
Kiukweli mkuu kiroho mshakaji aliniuma sana ila kimwili gari niliumia zaidiTajiri wa bus ukiona analia halii kwa sababu ya abiria ila hiyo mali yake nyie hata mfe wote potelea karibu
Mwamba aliponaga sasa? Nani alifanyaje baadae? Ali-refund?
Gari langu la kwanza lilikuwa ni carina niliipenda sana muda mwingi kivulini nalifuta vumbi na kitambaa laini, smtms naliangalia mpaka natabasam 😁 automatically
Laaaahaulaa balaa siku hiyo nimelewa mwamba akanimbia niazimishe ndinga nakuletea chapu kwa wenge la konyagi nikampa.(siazimagi la mtu wala sipendi kutoa gari langu)
Kesho yake napata taarifa mwamba kapinduka,kwenda mcheki yupo ICU.
Kwenda tazama ndinga daaaah! gari limepondeka kiasi kwamba unaweza kulibeba katika jaba 😂😂
Je ulishawahi kupata balaaa gani baada ya kuazima/ kuazimisha gari.. share nasi
Hahaha. Yale yale ya mke kapotea na gari wakati wa kutoa maelezo polisi mke unamuelezea kawaida mrefu, mweusi n.k ila inapofika saa ya kulielezea gari lilivyo machozi yanakulenga lenga na unaelezea mpaka mngurumo wa engine gia namba tano unavyolia mpelelezi anaishia kukupa moyo " Usijali, utalipata gari lako"Inategemea san ila hapo kitauma zaid Gari[emoji16]
Labd kam n mke au mtoto wako
Hahahahahaha. Halafu awe amekata third party insurance na serikali imlazimishe kufuatilia majeruhi walipwe.Tajiri wa bus ukiona analia halii kwa sababu ya abiria ila hiyo mali yake nyie hata mfe wote potelea karibu
Mkuu haikuwa na bima na mby mshkaji hakuwa na maisha ya kunilipaNa ukute hukuwa na Bima kubwa!
Na ukute hukuwa na Bima kubwa!
Chuma inamaa mby hasa ukute gari ya ndoto zako au gari ya kwanza kumiliki duuuuhHahaha. Yale yale ya mke kapotea na gari wakati wa kutoa maelezo polisi mke unamuelezea kawaida mrefu, mweusi n.k ila inapofika saa ya kulielezea gari lilivyo machozi yanakulenga lenga na unaelezea mpaka mngurumo wa engine gia namba tano unavyolia mpelelezi anaishia kukupa moyo " Usijali, utalipata gari lako"
Mwana alipona hakunilipa, mshkaji wa magetoni tuMwamba aliponaga sasa? Nani alifanyaje baadae? Ali-refund?
Hakika mkuu bora mkodie hata boda imuwahishe🤣Siazimishi gari yangu, "unaenda wapi nikupeleke?"
Unapiga vipi mkuu Share Kwa manufaa ya wengi.
Maji na mix na chumvi na mwagia kwa kunyunyuzi/ kurushia njeUnapiga vipi mkuu Share Kwa manufaa ya wengi.
Tusio ma magari tunalike wenye nayoHuu ndio uzuri wa Jf, na kila mtu anamiliki ndinga.... sasa tusio na magari tunakomenti wapi..😎