Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
π€£
Gari langu la kwanza lilikuwa ni carina niliipenda sana muda mwingi kivulini nalifuta vumbi na kitambaa laini, smtms naliangalia mpaka natabasam π automatically
Laaaahaulaa balaa siku hiyo nimelewa mwamba akanimbia niazimishe ndinga nakuletea chapu kwa wenge la konyagi nikampa.(siazimagi la mtu wala sipendi kutoa gari langu)
Kesho yake napata taarifa mwamba kapinduka,kwenda mcheki yupo ICU.
Kwenda tazama ndinga daaaah! gari limepondeka kiasi kwamba unaweza kulibeba katika jaba ππ
Je ulishawahi kupata balaaa gani baada ya kuazima/ kuazimisha gari.. share nasi
Daaah acha kabisa mkuu gari kuchek liko chemba limefunikwa lote kwa rubega la kimasai tu, just imagine maumivu take sasaNn kilikuumiza zaidi? Rafiki yako kuwa icu au gari lakoπ€£.
Mkuu wazee wanasema gari ni mke wapili, ulishaona wapi mtu anatoa mkewe!!Hakuna kitu kinaharibu na kuchakaza gari haraka kama kutumiwa na mikono mingi
Kila mtu ana uendeshaji wake.. Kwahiyo kila ukimpa mmoja atafanya settings zake nknk . lakini mbaya zaidi ni ishu za kiroho hasa kumpa mtu gari halafu akaenda kubebea matunguli ama kufanyia ngono ndani yake! Hakuna nuksi kubwa kama hiyo
Ogopa Sana mkuu, unaazima ndiga la mshkaji uende besidei ya bebi mara paapu matairi juuπ€£
Siti ya mbele
Hahaha. Ni mara chache sana kukutana na Mtz asiye mnafiki. Mara nyingi mtu angejifanya gari si kipaumbele kama afya ya aliyelipindua.Daaah acha kabisa mkuu gari kuchek liko chemba limefunikwa lote kwa rubega la kimasai tu, just imagine maumivu take sasa
Mkuu Nambie jinsi ya kuondoa nuksi ya ngono katika gari make Sasa naona majanga hayaishi.Help me.Hakuna kitu kinaharibu na kuchakaza gari haraka kama kutumiwa na mikono mingi
Kila mtu ana uendeshaji wake.. Kwahiyo kila ukimpa mmoja atafanya settings zake nknk . lakini mbaya zaidi ni ishu za kiroho hasa kumpa mtu gari halafu akaenda kubebea matunguli ama kufanyia ngono ndani yake! Hakuna nuksi kubwa kama hiyo
Fesibukuπ€£π€£π€£π€£π€£π€£Huu ndio uzuri wa Jf, na kila mtu anamiliki ndinga.... sasa tusio na magari tunakomenti wapi..π
hahahahaha
Ndugu yangu tiba yangu ni ileile tuu ya chumvi sina nyingineMkuu Nambie jinsi ya kuondoa nuksi ya ngono katika gari make Sasa naona majanga hayaishi.Help me.
Kiroho ni mshkaji ila kimwili ni ndinga aseeNn kilikuumiza zaidi? Rafiki yako kuwa icu au gari lako π .
Unanyunyiza ukiwa umechanganya na maji nje na ndani ama vipi mkuu nijazie nyama kidogo nsije nkajikuta natia Hadi kwenye Engine.Ndugu yangu tiba yangu ni ileile tuu ya chumvi sina nyingine
Tiba yako niliona yamaana Sana mkuu toka siku hizo ndinga nazipiga maji chumvi asubuhi nikisepa!! Naona inafanya kaziNdugu yangu tiba yangu ni ileile tuu ya chumvi sina nyingine
Unanyunyiza ukiwa umechanganya na maji nje na ndani ama vipi mkuu nijazie nyama kidogo nsije nkajikuta natia Hadi kwenye Engine.
Unapiga vipi mkuu Share Kwa manufaa ya wengi.Tiba yako niliona yamaana Sana mkuu toka siku hizo ndinga nazipiga maji chumvi asubuhi nikisepa!! Naona inafanya kazi
Nn kilikuumiza zaidi? Rafiki yako kuwa icu au gari lako π .