Balaa la kuazimisha gari!!!

Mwamba aliponaga sasa? Nani alifanyaje baadae? Ali-refund?
 
Inategemea san ila hapo kitauma zaid Gari[emoji16]

Labd kam n mke au mtoto wako
Hahaha. Yale yale ya mke kapotea na gari wakati wa kutoa maelezo polisi mke unamuelezea kawaida mrefu, mweusi n.k ila inapofika saa ya kulielezea gari lilivyo machozi yanakulenga lenga na unaelezea mpaka mngurumo wa engine gia namba tano unavyolia mpelelezi anaishia kukupa moyo " Usijali, utalipata gari lako"
 
Chuma inamaa mby hasa ukute gari ya ndoto zako au gari ya kwanza kumiliki duuuuh
 
Huwa nakereka sana na marafiki wanaopenda kuomba omba

Sjui mimi huwa nipoje,sinaga haraka na vitu vya watu

Lakin mwingine unakuta hata kuendesha vizuri hajui ila anakimbilia kuomba

Na hawa wajinga wa hv hata wakiharibu huwa hawana kawaida ya kutengeneza,yaan anaharibu na anakuacha tu hvyo kisera sera tu
 
Mwez December kak ndio alikuw anatumia Gari yangu
/Ajawah milik gari asee ilikuw inaniuma sana sema ndio hvyo ukimaind anakuona dogo vp unajali mali kulko utu mambo alikuw ananikera nayo ni haya

1:-hana basic driving skills na utunzaj wa chombo kama yafuatayo (Gari ni 1.8L)

-anatembez gari hadi iwake taa ya mafuta wakat ni safar za stalehe na bado atawek mafuta ya 10,000
-breki za hapa na pale kila dk (hadi brek zikaish ndan ya mwezi)
-sometimes gari anaendeshea kwa end breki
-hana usafi wa ndan ya Gari /mimi gari iwe chafu nje sio kesi)
-anaweka mafuta ya 10,000/-
-anashindw kukadiria njia ya kupta mapamba yote shida
-ukimuelekez m-bish anaona anajua kuendesha
-hayupo sensitive anaweza tia gia wakat engine haijawaka (dashboard imewaka yeye anazan na engine iko on )
-kuwash android engine ikiw off

YAAN KUNA WATU WAZITO SAN JAPO YA YOTE ANAJITAHID UMAKN FULAN NJIA ILA NAMUONA AWEZ KU HANDLE EMERGENCY ISSUE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…