Balaa la mti huu

Balaa la mti huu

madeinmusoma

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
324
Reaction score
387
Naambiwa mti huu wa mpangazi uzazi ni hatari sana unapokuwa kwenye mazingira ya nyumbani. Kama kuna mwana JamiiForums anafahamu tafadhari atufafanulie.

FB_IMG_1700478856012.jpg
 
Kuna kipindi wakazi wengi wa Dar waliikata na kuingoa sababu eti miti hii inasababisha mikosi!
 
Panda Mharadari
HUo Uache Kwanza Kama Ule Mtini Usizaa Kwenye Biblia
 
Back
Top Bottom