Balaa la siku ya kwanza la Jonathan Kapela. Kuna watu watapa shida sana uwanjani

Hata cheza Jumamosi ila kuhamasishana kuiunga mkono timu ya yanga sc uwanjani ni muhimu
 
Ila Yanga, hahah! Hapo mnafichwa ili mkajae uwanjani kumuona huyo tapeli kumbe hata haruhusiwi kuchezea uto mashindano ya CAF msimu huu. Tukisema hii timu ya janja janja kuna watu hamtuelewi.
Mikakati kwaajili ya NBC premier league siyo CAF
 
Kwa namna nilivyomuona kwenye clip zake; si haba! Kwa mfumo wa uchezaji wa Yanga, anafit kwenye kikosi cha kwanza.

Na itakuwa poa sana upande mmoja wa pembeni akicheza Mzize, na upande mwingine akacheza yeye.
 
nataka niwe wa kwanza kuthibitisha, "jonathani kapela atawafunga makolo msimu huu wa NBC PL."
 
Ni YOUNG AFRICANS SC pekee mchezaji akisajiliwa mashabiki hawamshobokei yaani anaonekana wa kawaida sana mpaka akapambane aoneshe uwezo wake ndipo ataimbwa, huko kwa akina kmc,tabora kagera na huko simba mchezaji akija moja kwa moja anaanza kazi ie. mpanzu,ateba,
 
Mleta mada kanogesha taarifa kama vile anacheza jmosi wakati ni ulaghai mtupu. Na viongozi wenu wamemtambulisha bila kuwaambia kuwa hawezi cheza CAF. Wajinga waliwao.
Lakini nimeona taarifa pitia YouTube ya kumruhusu acheze Jumamosi tusubiri Jumamosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…