Balaa la siku ya kwanza la Jonathan Kapela. Kuna watu watapa shida sana uwanjani

Balaa la siku ya kwanza la Jonathan Kapela. Kuna watu watapa shida sana uwanjani

Hata moto wa kifuu Huwa unawaka kwa Kasi lakini baada ya muda unazima ziiii. Tusubiri tuone kama yaliyomo yamo.
 
Alikuwa anawekwa benchi na Mpanzu huyo
 
Ni YOUNG AFRICANS SC pekee mchezaji akisajiliwa mashabiki hawamshobokei yaani anaonekana wa kawaida sana mpaka akapambane aoneshe uwezo wake ndipo ataimbwa, huko kwa akina kmc,tabora kagera na huko simba mchezaji akija moja kwa moja anaanza kazi ie. mpanzu,ateba,
Kwa hiyo unamkatalia alichokiandika chura mwezako?
 
Huyu jamaa ni mzito Umaga anasubiri,Alafu anatabia ya kufuga kitambi akiwa ni mchezaji na keshasajiliwa na club.
 
Yaani mnasajili mchezaji kwa ajili ya NBC premier?!
 
Back
Top Bottom