Tusubiri kivipi unataka unitapeli na mimi? Kanuni za CAF ziko waziLakini nimeona taarifa pitia YouTube ya kumruhusu acheze Jumamosi tusubiri Jumamosi
Angalia YouTube usinihukumu BureeTusubiri kivipi unataka unitapeli na mimi? Kanuni za CAF ziko wazi
Youtube ndiyo kuna kanuni za CAF?Angalia YouTube usinihukumu Buree
Kwa hiyo unamkatalia alichokiandika chura mwezako?Ni YOUNG AFRICANS SC pekee mchezaji akisajiliwa mashabiki hawamshobokei yaani anaonekana wa kawaida sana mpaka akapambane aoneshe uwezo wake ndipo ataimbwa, huko kwa akina kmc,tabora kagera na huko simba mchezaji akija moja kwa moja anaanza kazi ie. mpanzu,ateba,