Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Masanja nae ni mwanamuziki??
He is multi-role...
Comedian, Pastor, Mwimbaji, MC,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masanja nae ni mwanamuziki??
Anawatumiaje sasa hao fans? Maana nlikuwa fan wake akawa anapost utumbo, nkamu unlike, hana jambo jipya, anaweka ujinga,,so boring.
Msanii mwenye akili hata page yake haiboi ni Hamees Mwinjuma
Masanja Mkandamizaji
183,552 Fans
hao wote hawaoni ndani acha kukurupuka!
mods. Kingine?Uanzishe na nani??
UmeonaeeeeeeeDuh! Tuanzishe tuition ya kuandika Headlines!
sijahitaji msaada wa mtu, au macho yako yanakudanganya namna ya kusoma??? unahitaji na tuition ya kusoma pia?Sasa ulitaka tukusaidieje??,promo au?
Na Milard naye ni mwanamuziki?
Acha kudandia mambo mtoto wa kiume
Masanja nae ni mwanamuziki??
Masanja mbona ni mchungaji yule?