balaa lingine la Lady jaydee..

balaa lingine la Lady jaydee..

Naomba hichi kichwa cha habari kipelekwe Salon ntalipa mimi...
Nitajitolea usafiri,yaani kanikurupusha huko nilpokuwa nione huyu komando-dada kapatwa na jiriwa lipi kumbe...!darasa la lugha adhiim ya kiswahili linamhusu sana mja huyu!
 
kichwa cha habari na habari yenyewe utata duu!.nimekuja mbio lakini.........
 
Back
Top Bottom