MPENDA USAWA
Senior Member
- Oct 15, 2012
- 169
- 29
7,000,000/, KULA+KULALA+MATUMIZI MINGINE /= ,kama 13,000,000/-Aisee yaani ukisikia watoto wa masikini wataendelea kuwa masikini wa elimu na kila kitu ndo inajidhihilisha!!!yaani masterz kwa sasa ada ni 7milions cash!!!hapo bado accomodation si balaa hii sasa!!daah!!
...ni 8.5 MBA, UDSM,sio kila mtu lazima asome masters. Nenda chuo cha nyuki,chuo cha sanaa,veta,ukishindwa nenda zanzibar university...
Just sinking, no, sorry thinking aloud:
Bei ya Bia inapanda kila baada ya miezi kadhaa - no complains! Bei ya Elimu ikipanda tu - kelele kubwa ya wimbo wa Taifa wa umasikini!
Strange human nature, isn't it?
Anyway, like I said, just sinking, no, sorry, thinking aloud!
Just sinking, no, sorry thinking aloud:
Bei ya Bia inapanda kila baada ya miezi kadhaa - no complains! Bei ya Elimu ikipanda tu - kelele kubwa ya wimbo wa Taifa wa umasikini!
Strange human nature, isn't it?
Anyway, like I said, just sinking, no, sorry, thinking aloud!
critisicm:si kila mtu mnywa bia,wengne bei za elimu zkipanda wanaumia,hasa watoto wa wakulima
Ada ya pHD je?
Aisee yaani ukisikia watoto wa masikini wataendelea kuwa masikini wa elimu na kila kitu ndo inajidhihilisha!!!yaani masterz kwa sasa ada ni 7milions cash!!!hapo bado accomodation si balaa hii sasa!!daah!!
Sorry, like I said, I was just thinking aloud!
Hata hivyo, ninaamini gharama za uendeshaji za Vyuo ziko juu sana na chanzo chao kikuu cha mapato ni malipo yanayofanywa na Wateja wao ambao ni Wanafunzi.
Je, gharama za Vyuo vyetu zimekaa vipi zikilinganishwa na gharama na ubora ktk Vyuo vya Nchi Jirani?
Je, Serikali "ina-subsidize"? Kwa kiasi gani? Kwa asilimia ngapi ukilinganisha na kupanda kwa gharama za uendeshaji?
Je, hii sababu ya kusingizia ya "mtoto wa mkulima" inayotumika leo miaka 50+ baada ya Uhuru itaendelea hadi lini? Ninafahamu baadhi ya Wakulima wadogo wa Choroko huku kwetu Meatu 10m siyo tatizo. Kisingizio cha "mtoto wa Mkulima" kinadumaza kilimo chetu na kinadhalilisha Ukulima kaa "career"
Just thinking aloud!
hahahah kwakweli mi ningependa mke wangu awe na masters..... unaihitaji elimu dear/ ahhaaElimu tena basi ntaolewa tu....