Sorry, like I said, I was just thinking aloud!
Hata hivyo, ninaamini gharama za uendeshaji za Vyuo ziko juu sana na chanzo chao kikuu cha mapato ni malipo yanayofanywa na Wateja wao ambao ni Wanafunzi.
Je, gharama za Vyuo vyetu zimekaa vipi zikilinganishwa na gharama na ubora ktk Vyuo vya Nchi Jirani?
Je, Serikali "ina-subsidize"? Kwa kiasi gani? Kwa asilimia ngapi ukilinganisha na kupanda kwa gharama za uendeshaji?
Je, hii sababu ya kusingizia ya "mtoto wa mkulima" inayotumika leo miaka 50+ baada ya Uhuru itaendelea hadi lini? Ninafahamu baadhi ya Wakulima wadogo wa Choroko huku kwetu Meatu 10m siyo tatizo. Kisingizio cha "mtoto wa Mkulima" kinadumaza kilimo chetu na kinadhalilisha Ukulima kaa "career"
Just thinking aloud!