Balaa,mtoto wa siku 3 alikataa jina la Slaa,alikubali la Mwigulu!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
950
Ndivyo hali ilivyokua.
Baba mzazi ni CHADEMA mama CCM.
Likaja zoezi la kumpa jina na kila mzazi akawa anavutia kwake,baba akatumia ubabe kumpa jina la Slaa,mama akakataa na akampa la Mwigulu,hali hii ikapelekea kumchanganya shangazi,wajomba na mama wadogo wa mtoto,ikabidi utumike utaratibu wa vikaratasi vilivyoandikwa majina ya Mwigulu na Slaa,kisha akaambiwa mtoto mdogo aokote na ndilo litakalo kua jina la mtoto,wakamtafuta mtoto mdogo wa jirani alivyookota na kufungua ni 'MWIGULU'
Sasa mtoto anaitwa Mwigulu Lucas kutoka kwenye familia ya ndugu Lucas Mushi.

Ingawa baba mzazi bado inamuuma lakini mama mzazi ameapa kesho kwenda kuanza mchakato wa kupata cheti cha kuzaliwa chenye jina hilo.

Habari hii imetokea ,KIKATITI-ARUSHA'
 
hakuna lolote. mtoto wa siku3 hajui lolote acha idaku
 

Huyo mtoto wa siku tatu kuwa na uwezo wa kuchagua basi atakuwa jini! Kamchagua jini mwenzie!
 
ndo nini?? nakushauri ukamalizie pombe yako ya kimpumu kwani uwendawazimu bado haujakutoka vizuri.. maana aya uloachia ni mashudu
 
Tatizo lenu mnasoma bila kuelewa,inaonyesha ata walimu wenu walipata tabu sana.......
 
Aliechagua karatasi ni mtoto mwingine sio kichanga.
 
Kaaaz kweli kweeli jini kamchagua shetani
 

Embu bold alipolikataa tuone.
 
Mwenye akili ataelewa huyo mama kazaa na mwingilu hivyo kampa mtoto jina la baba yake...akili kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…