Haya mabifu ya kipuuzi sana! mabeef tuwaachie wakina Suge knight, wakina 50 cent wakina TI siyo hawa wajiga wanagombeana wananaume
Bora useme we we, halafu watu wasisahau kuwa hawa jamaa wanatoka kigomaaa....huwa hawatupani wale watu...
So tuongee huku tunabakisha maneno, wakija patana tusije kuona aibuu...
Hivi hawa wanagombania nini?
Bora useme we we, halafu watu wasisahau kuwa hawa jamaa wanatoka kigomaaa....huwa hawatupani wale watu...
So tuongee huku tunabakisha maneno, wakija patana tusije kuona aibuu...
Bifu za kutengenezwa
Alikiba anazo tatu au mbili kama ckosei na diamond ana ata moja
Cinderella iliuza Sana japo sina idad n tsh ngap
mi nilijua hili ni bifu la mashabiki tu kumbe na wao wameingia mkenge, itawa costBifu za kutengenezwa
Hawa ni wapuuzi wanatakiwa kukemewa hivi leo hii kama mmoja ikitokea hayupo aliyebaki atamlilia mwenzie? Mimi bado namlaumu Kiba maana yeye ni mtu mzima kuzidi Diamond ..kutosalimiana ni upuuzi ulio pitiliza.
pengine hili tamasha limeandaliwa kwa ajili ya kuingiza, pesa kupitia hii bifu ya kichina kitendo cha wao kusalimiana na kuonyesha hawana tofauti pengine waliona kutapunguza mvuto wa tamasha lenyewe nahisi hivyooo.
Kibba ndie Wa kulaumiwa kwanini hakusimama na kwenda kumsalimia mfalme diamond?kibba alitakiwa kwenda na kumpa pole diamond kwa ziara ndefu ya east Africa during Xmas na new year.
Hahahaaaa yaani wewe jamaa bana.
Sasa ujinga na upuuzi uko wapi hapo?
Nini jipya na/ au la ajabu wanalolifanya wao ambalo halijawahi kufanywa na wasanii wengine na/ au ambalo halifanywi na hata watu wengine wasio wasanii?
Mambo ya mabifu kwa wasanii si mageni na yapo tokea enzi na enzi na si ya kipekee kwa wasanii wa Kitanzania tu. Hata huko kwingine mabifu ya kiushindani yapo tena mengi tu.
Ili mradi kila mmoja wao anabaki kwenye njia yake na amani inadumishwa sioni kwa nini uwaite wajinga au wapuuzi.
Bifu za kiusanii huongeza ushindani na ushindani unapoongezeka washabiki hupata bidhaa bora.
Hivyo hamna ujinga wala upuuzi hapo.
What's happening between the two of them comes and goes with the territory.
hahahahaaa bora wewe uliyeona scene waweza tusaidia hapa coz ilivyoandikwa ni as if mmoja alikaa next ya mwenzakeIshu mnaikuza tu, awa watu walikaa mbalimbali sana sijui ata nisemeje. Yani kwa distance waliokaa na situation yao ilivyo, mmoja angetoka kwenda kumsalimia mwenzake ingekuwa ni unafiki wa hali ya juu.