Balaa! Yanga kwenye domo la Etoile Du Sahel

Ulivyopotea siku kadhaa za hivi karibuni nikajua nawe ulipanda ile gari ya simba ukawa, kumbe yu hai??
Habar za kitambo mtani!
 
Kumbe siku hizi sheria zinatungwatungwa kirahirahisi kama kumtongoza demu wa JF???
 
Ulivyopotea siku kadhaa za hivi karibuni nikajua nawe ulipanda ile gari ya simba ukawa, kumbe yu hai??
Habar za kitambo mtani!

Poa Tu Kadi Nyekundu Ya Mods Ilinipitia Hivyo Sikuwa Na Jinsi Mtani Kadi Yangu Nyekundu Imeisha Muda Wake Rasmi Leo Na Mwendo Mdundo.
 
Poa Tu Kadi Nyekundu Ya Mods Ilinipitia Hivyo Sikuwa Na Jinsi Mtani Kadi Yangu Nyekundu Imeisha Muda Wake Rasmi Leo Na Mwendo Mdundo.
Karibu sana mtani tena umerudi muda muafaka wakat watani zako tunamfanyia kitu mbaya mwanao pekee uliembatiza jina la coast union hapo kesho tena tukiwa tunaeneza kauli mbiu yetu ya jiwe moja kwa ndege wawili yaani kitaifa na kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…