Balaa! Yanga kwenye domo la Etoile Du Sahel

Na Nimesikia Kuwa Kwa Sheria Mpya Ya CAF Kumbe Etoile Du Sahel Wana Ruhusa Ya Kumtumia Mchezaji Emanuel Okwi Kama Wakikubaliana Na MNYAMA Simba Sports Club Hivyo Habari Nilizozipata Punde Tu Ni Kwamba ILI Kuleta Nidhamu Hapa Mjini Uongozi Wa Klabu Bora Afrika Ya Mashariki Ya Simba Sports Club Umeamua Kuwaazima Etoile Du Sahel Mchezaji Wake Emanuel Okwi Akipige Ktk Mtanange Huo Dhidi Ya Yanga Hivyo Wanayanga Mnaweza Sasa Mkaanza Kutafuta Dawa Zenu Za Presha Kwani MSIYEMPENDA KAJA. Yanga Ikivuka Kwa Kuitoa Etoile Du Sahel Naachia Haja BIG Kariakoo Nzima!
Ulivyopotea siku kadhaa za hivi karibuni nikajua nawe ulipanda ile gari ya simba ukawa, kumbe yu hai??
Habar za kitambo mtani!
 
Kumbe siku hizi sheria zinatungwatungwa kirahirahisi kama kumtongoza demu wa JF???
 
Ulivyopotea siku kadhaa za hivi karibuni nikajua nawe ulipanda ile gari ya simba ukawa, kumbe yu hai??
Habar za kitambo mtani!

Poa Tu Kadi Nyekundu Ya Mods Ilinipitia Hivyo Sikuwa Na Jinsi Mtani Kadi Yangu Nyekundu Imeisha Muda Wake Rasmi Leo Na Mwendo Mdundo.
 
Karibu sana mtani tena umerudi muda muafaka wakat watani zako tunamfanyia kitu mbaya mwanao pekee uliembatiza jina la coast union hapo kesho tena tukiwa tunaeneza kauli mbiu yetu ya jiwe moja kwa ndege wawili yaani kitaifa na kimataifa.
 
Back
Top Bottom