bless on
JF-Expert Member
- May 22, 2026
- 1,213
- 2,938
Tazama uso wa huyu mnyama... 🐒
Nyani huyu anaitwa Bald Uakari, lakini kule Amerika Kusini anajulikana zaidi kwa jina la "English Monkey" (Kima wa Kiingereza).
Sababu haina sayansi wala mambo mengi: Wakazi wa huko walimpa jina hilo baada ya kuona uso wake mwekundu na kipara chake—ukifanana pua na mdomo na watalii wa Kiingereza wanapo kuwa wameungua na jua, na sura zimegeuka kuwa nyekundu.
Yaani walimwona Mwingereza alivyogeuka nyanya iliyoiva baada ya masaa mawili tu kwenye jua, wakatazama huyu nyani, wakasema: "Aisee, huyu mnyama anafanana kabisa na Mwingereza aliyepigwa na jua!" Kwahiyo jina lake litakua "English Monkey" au "Nyani wa kiingereza".