Baleke anafanya makusudi kutukosesha magoli

iyokichiku

Member
Joined
Oct 30, 2023
Posts
36
Reaction score
70
Hii ni dhahiri Sasa kwamba baleke ametumwa kuihujumu Simba, hivi inakuwaje unalipwa mshahara halafu unatenda kinyume na maadili ya timu Kama mtumishi.
Hi haikubaliki Bora waondoke tu.
Aidha tujipange upya kuelekea mapumziko haya. viongozi wafanye usajili wa uhakika siyo Kama baleke
 
Mmmmm thimba kwa lawama kitoto.....eti mnahujumiwaaaa
 
Nilishapoteza Imani na hii Simba ya akina Mangungu
Jitu linatumia mawazo yaliyochakaa ya kiccm ccm unategemea nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…