kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Baada ya Mechi hizi za raundi ya tatu za Ligi ya NBC.
Imejidhihirisha Jean Othos Baleke ndiye mchezaji Hatari Zaidi kwenye safu ya Ushambuliaji Kwa Sasa Nchini Tanzania.
Sio kwamba wengine hawapo, Ila Yeye ndiye Kiumbe Katili zaidi ndani ya 18 akiwa na mpira ukilinganisha na Wengine kwenye Premier ya Tanzania.
Hat trick yake dhidi ya Coastal ni mojawapo ya Udhibitisho.
Tuungane Wote Wadau kukikuza Kipaji ichi. Mbadala wa Mayele.