kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Huwezi kutoa hitimisho kwa ajili ya mechi ya Jana ambayo imechezwa nje ya uwanjaBaada ya Mechi hizi za raundi ya tatu za Ligi ya NBC.
Imejidhihirisha Jean Othos Baleke ndiye mchezaji Hatari Zaidi kwenye safu ya Ushambuliaji Kwa Sasa Nchini Tanzania.
Sio kwamba wengine hawapo, Ila Yeye ndiye Kiumbe Katili zaidi ndani ya 18 akiwa na mpira ukilinganisha na Wengine kwenye Premier ya Tanzania.
Hat trick yake dhidi ya Coastal ni mojawapo ya Udhibitisho.
Tuungane Wote Wadau kukikuza Kipaji ichi. Mbadala wa Mayele.
Nje ya uwanja?Huwezi kutoa hitimisho kwa ajili ya mechi ya Jana ambayo imechezwa nje ya uwanja
Kwahiyo hadi sasa kafunga mechi zote na ana goli zisizopungua 5Nafikiri Mechi dhidi ya Mtibwa alifunga na Mechi dhidi ya Dodoma Jiji pia alitupia...
It is a real Goal Machine.
Kwahiyo hadi sasa kafunga mechi zote na ana goli zisizopungua 5
Ni mshambuliaji mzuri, ila sio hatari, ni mzuri sababu anajua kukaa kwenye nafasi ndio maana magoli yake ni ya tap in, mshambuliaji hatari kwa sasa ni Prince DubeBaada ya Mechi hizi za raundi ya tatu za Ligi ya NBC.
Imejidhihirisha Jean Othos Baleke ndiye mchezaji Hatari Zaidi kwenye safu ya Ushambuliaji Kwa Sasa Nchini Tanzania.
Sio kwamba wengine hawapo, Ila Yeye ndiye Kiumbe Katili zaidi ndani ya 18 akiwa na mpira ukilinganisha na Wengine kwenye Premier ya Tanzania.
Hat trick yake dhidi ya Coastal ni mojawapo ya Udhibitisho.
Tuungane Wote Wadau kukikuza Kipaji ichi. Mbadala wa Mayele.
Mkuu ujue ndiyo unamchongea,tayari uto wameweka 50m kwa mtu atakayemvunja mguu Baleke.Baada ya Mechi hizi za raundi ya tatu za Ligi ya NBC.
Imejidhihirisha Jean Othos Baleke ndiye mchezaji Hatari Zaidi kwenye safu ya Ushambuliaji Kwa Sasa Nchini Tanzania.
Sio kwamba wengine hawapo, Ila Yeye ndiye Kiumbe Katili zaidi ndani ya 18 akiwa na mpira ukilinganisha na Wengine kwenye Premier ya Tanzania.
Hat trick yake dhidi ya Coastal ni mojawapo ya Udhibitisho.
Tuungane Wote Wadau kukikuza Kipaji ichi. Mbadala wa Mayele.
Si ni juzi tu hapa mumetoka kumuogesha matusi kwa magoli ya wazi aliyokosa dhidi ya Power dynamoYap, Mechi 3 Goli 5... Hatarii
Kwenye Ligi yeyote Duniani, kuwa na Wachezaji wa Calibre hii kunachangia sana Ligi hiyo kupanda chati...!
Anajua Kuji position, Footwork Fantastic na pia yeye na nyavu ni Marafiki anafunga..
Akiendelea kwa Mwendo huu atawaacha mbali wengine.
Ni mshambuliaji mzuri, ila sio hatari, ni mzuri sababu anajua kukaa kwenye nafasi ndio maana magoli yake ni ya tap in, mshambuliaji hatari kwa sasa ni Prince Dube
Wabongo noma sana…!! Siku ya Power Dynamos alitukanwa kila aina ya tusi, ila kwa mechi ya jana tu, kashapewa sifa ya kuitwa mshambuliaji bora NBC League…!!!
Bongo Sihami…!!!
Katika mechi hiyo na Dynamos, licha ya kukosa mabao, yeye ndiye aliyetengeneza goli la kwanza la Simba na yeye ndiye aliyemponza beki wa Dynamos hadi kupewa kadi nyekundu (ambayo utopolo wanalalamika kwa nini wapinzani wa Simba wanapewa kadi nyekundu)Si ni juzi tu hapa mumetoka kumuogesha matusi kwa magoli ya wazi aliyokosa dhidi ya Power dynamo
Unasemaje kuwa kajirekebisha kwenye mechi moja tu? Mbona mechi dhidi ya Mtibwa alifunga magoli mawili lakini haikusaidia kumuokoa na matusi dhidi ya Power Dynamo? Ili kujua kama kajirekebisha mpe muda uone mwendelezo wake.Ukiangalia amejirekebisha sana, nafasi ni kama zile za Dynamo, leo amezitumia vizuri
Katika mechi hiyo na Dynamos, licha ya kukosa mabao, yeye ndiye aliyetengeneza goli la kwanza la Simba na yeye ndiye aliyemponza beki wa Dynamos hadi kupewa kadi nyekundu (ambayo utopolo wanalalamika kwa nini wapinzani wa Simba wanapewa kadi nyekundu)
Ni mshambuliaji mzuri, ila sio hatari, ni mzuri sababu anajua kukaa kwenye nafasi ndio maana magoli yake ni ya tap in, mshambuliaji hatari kwa sasa ni Prince Dube