Baleke Ndiye Mfungaji Hatari zaidi Kwa Sasa NBC League!

Kwahiyo hilo hamkujua mpaka mashabiki wa Simba mkawa mnalalamikia kuwa Baleke na Ayubu ndio aliyei cost timu kupata matokeo yale?
Hakuna kikao kimoja cha mashabiki kilichotoka na tamko la kumlaumu Baleke, Ayoub au mchezaji mwingine. Yale yalikuwa ni matamshi ya mtu mmoja mmoja, but actually for my opinion, the boys played well
 
Hakuna kikao kimoja cha mashabiki kilichotoka na tamko la kumlaumu Baleke, Ayoub au mchezaji mwingine. Yale yalikuwa ni matamshi ya mtu mmoja mmoja, but actually for my opinion, the boys played well
Ukichukukua matamshi ya mmoja mmoja ukiyakusanya unapata wingi. Ukiingia Twitter utakutana na watu kibao waliowalalamikia Ayoub na Baleke. Ukija humu JF ndio usiseme idad ni kubwa vile vile. Na mpaka inafikia wewe kufungua uzi ukijaribu kuwakingia kifua hao watu maanake umeona malalamiko ni mengi kwa hao watu wawili (Baleke na Ayoub)
 
Hamkosi maneno, 'Tap in' ndo nini..?

Kwaiyo Wapo wa 'Tap Out ..!

Huyu tuanze kumpa Maua yake Mapema..!

Mbona Mayele alipewa maua, Waarabu kisu kikali wakambeba.

Kuna timu mpaka muda huu hawajui mshambuliaji kwenye kikosi ni nani.?
Ipo hivi, Mayele = mbappe,
Baleke= halaand
 
Kwani tz kuna striker mwingine mbali na baleke??
 
AFIZI KONIKONI ana hata shot on target kwenye mechi hizi 3 ?
 
Hamkosi maneno, 'Tap in' ndo nini..?

Kwaiyo Wapo wa 'Tap Out ..!

Huyu tuanze kumpa Maua yake Mapema..!

Mbona Mayele alipewa maua, Waarabu kisu kikali wakambeba.

Kuna timu mpaka muda huu hawajui mshambuliaji kwenye kikosi ni nani.?
Mshambuliaji ni MZIZE
 
Wabongo noma sana…!! Siku ya Power Dynamos alitukanwa kila aina ya tusi, ila kwa mechi ya jana tu, kashapewa sifa ya kuitwa mshambuliaji bora NBC League…!!!

Bongo Sihami…!!!
Mi nafikiri tumpe muda
 
Kama ni mfuatiliaji wa mpira hukutakiwa kutumia neno "mbadala wa mayele"

kumuita baleke "mbadala wa mayele" ni kumkosea heshima kwa kiwango cha juu.

Neno "mbadala wa mayele" maana yake mayele ni bora kuliko baleke kama wote watawekwa pamoj.

Nakukumbusha kuwa mayele na baleke walicheza ligi moja msimu mzima na baleke akaibuka mfungaji bora, hii maana yake baleke hatakiwi kulinganishwa na mayele maana alishathibirisha hilo wakiwa wanacheza kwenye timu mbili tofauti kwa msimu mzima ndani ya ligi moja.
 
Alama yetu ni mnyama...mnyama ukimwendea vibaya haachi kukurarua na kutoka damu...hizo ni red card hazitawaacha salama wapinzani....
 
Maajabu hayaishi aisee kwa wachambuzi wakibongo yaani Baleke ni bora kuliko Mayele?

Kwanini mchezaji bora kapelekwa kwa mkopo ligi ya Lebanoni?
Baleke na Mayele wote wamecheza Tanzania huku Baleke akionekana katika mashindano ya klabu bingwa na ligi kuu na Azam Federation huku Mayele akionekana katika CAFCC, ligi kuu na Azam Federation lakini kwanini Baleke hajausishwa hata na tetesi za kutakiwa na timu yeyote ile nje huku tetesi zikasikika kwa Mayele tu na mwisho Mayele kasajiliwa Pyramids huku Baleke akisalia na timu yake ile ile?

Mayele na Baleke wote ni wa Congo, kwanini Baleke haitwi timu ya taifa ya Congo ilihali Mayele anaitwa hadi timu ya taifa?
 
Inaelezwa kuwa Huyu Bwana ni 'JINI' Mayele Kalikimbia analijua...

Waswahili wanao msemo 'Jini' Likujualo halikuli Likakwisha. Sasa hawa Wanajuana Sijui Kwanini Fisto Kamkimbia Othos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…