Balile amekacha press ya Polepole bila kutoa taarifa. Nilisema huyu ni chawa anatetea tumbo lake

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Huyu ni chawa kama machawa wengine wanao tetea matumbo yao bila kujali haki na tanuru la uvuli wa umauti wanayopitia watanzania!.

Amekacha press kuogopa mishale ya maswali (tulitayarisha maswali ya kumuuliza na yeye apart kuwa alialikwa kuuliza maswali) akihofu anaweza kuteleza ulimi akajibu ndivyo sivyo akamwaga unga.

Nshomile msaliti wa kama machawa wengine...takataka
 
aendelee kunenepa mashavu tu
 
Write your reply...hasidi hana sababu mlianza kumtukana pale alipotajwa kua atashiriki sasa kaona isiwe tabu asitoke kuepusha usenge wenu napo imekua taabu
 
Nilijua hawezi kushiriki.
Na hao wengine nilijua tu kua nao wataishia kwenye "Whataboutism" kufanya character assassination na ndiyo kitu walichofanya ili kujiokoa na watekaji ambacho Balile inaweza kuwa anajutia. Hao wawili wamefanya 90% ya muda kumfagilia Samia na CCM. Hao ndiyo waandishi wetu, na "status quo"
 
Licha ya yote Polepole alijitahidi sana kuwalinda wasitekwe
 
Huyu ni chawa kama machawa wengine wanao tetea matumbo yao bila kujali haki na tanuru la uvuli wa umauti wanayopitia watanzania!.

Amekacha press kuogopa mishale ya maswali (tulitayarisha maswali ya kumuuliza na yeye apart kuwa alialikwa kuuliza maswali) akihofu anaweza kuteleza ulimi akajibu ndivyo sivyo akamwaga unga.

Nshomile msaliti wa kama machawa wengine...takataka

Boss wa toilet paperz zingine...
 
Write your reply...hasidi hana sababu mlianza kumtukana pale alipotajwa kua atashiriki sasa kaona isiwe tabu asitoke kuepusha usenge wenu napo imekua taabu
😂😂 Mkuu umeongea kwa hisia sana, by the way umenikumbusha miaka mingi nyuma enzi Jahazi ikiwa Jahazi kweli, Bi khadija Yusuph anakwambia ”Hasidi hana sababu".
 
Kwa Balile hakuna kitu kabisa pale. Uandishi wake wa habari wa kutetea tumbo umeua weledi na akili yake yote kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom