aendelee kunenepa mashavu tuHuyu ni chawa kama machawa wengine wanao tetea matumbo yao bila kujali haki na tanuru la uvuli wa umauti wanayopitia watanzania!.
Amekacha press kuogopa mishale ya maswali (tulitayarisha maswali ya kumuuliza na yeye apart kuwa alialikwa kuuliza maswali) akihofu anaweza kuteleza ulimi akajibu ndivyo sivyo akamwaga unga.
Nshomile msaliti wa kama machawa wengine...takataka
Nilijua hawezi kushiriki.Huyu ni chawa kama machawa wengine wanao tetea matumbo yao bila kujali haki na tanuru la uvuli wa umauti wanayopitia watanzania!.
Amekacha press kuogopa mishale ya maswali (tulitayarisha maswali ya kumuuliza na yeye apart kuwa alialikwa kuuliza maswali) akihofu anaweza kuteleza ulimi akajibu ndivyo sivyo akamwaga unga.
Nshomile msaliti wa kama machawa wengine...takataka
Licha ya yote Polepole alijitahidi sana kuwalinda wasitekweNilijua hawezi kushiriki.
Na hao wengine nilijua tu kua nao wataishia kwenye "Whataboutism" kufanya character assassination na ndiyo kitu walichofanya ili kujiokoa na watekaji ambacho Balile inaweza kuwa anajutia. Hao wawili wamefanya 90% ya muda kumfagilia Samia na CCM. Hao ndiyo waandishi wetu, na "status quo"
Huyu ni chawa kama machawa wengine wanao tetea matumbo yao bila kujali haki na tanuru la uvuli wa umauti wanayopitia watanzania!.
Amekacha press kuogopa mishale ya maswali (tulitayarisha maswali ya kumuuliza na yeye apart kuwa alialikwa kuuliza maswali) akihofu anaweza kuteleza ulimi akajibu ndivyo sivyo akamwaga unga.
Nshomile msaliti wa kama machawa wengine...takataka
Nikikumbuka ya Salva sishangai ya Balile, Kina Nshomile wanakaa kimkakatiBalile ni chawa aliyebatizwa kabisa.
😂😂 Mkuu umeongea kwa hisia sana, by the way umenikumbusha miaka mingi nyuma enzi Jahazi ikiwa Jahazi kweli, Bi khadija Yusuph anakwambia ”Hasidi hana sababu".Write your reply...hasidi hana sababu mlianza kumtukana pale alipotajwa kua atashiriki sasa kaona isiwe tabu asitoke kuepusha usenge wenu napo imekua taabu
Nakubatiza kwa jina la BABA NA LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU jina la BalileBalile ni chawa aliyebatizwa kabisa.