Balile: DPP, IGP, DCI lifutieni taifa aibu kesi ya Mbowe

Balile: DPP, IGP, DCI lifutieni taifa aibu kesi ya Mbowe

hata issue ikibuma kusiwepo na ushahidi.
Asante sana kwa maoni yako.

Katika hili la kuficha nyayo, nikukumbushe tukio la " sensitive dossiers " zilizoachwa stend ya basi na highly qualified UK intel. It was intelligence glitch of highest order katika historia ya utendaji kazi wa "vitengo" vya UK.

Kwa maelezo hayo hapo juu, nakuomba mkuu, usome barua ikiwa ndani ya bahasha.
 
Balile alikuwa muhariri was gazeti la Mbowe,na Mbowe ndiye alimsomesha mpaka digrii ya pili, na alimsomesha digrii ya sheria,japo bado ana viwango vya bush lawyer
 
Samia Hana uwezo wa kuongoza nchi,kwa Sababu Toka huko alipokuwaga hajawai kufanya Jambo lenye manufaa kwa nchi .Akiwa makamu mwenyekiti wa bungee la katiba alifeli kulipata Taifa katiba mpya eti Leo ndo Rais ,Tumepigwa kwanza Hana vision anadandia matukuo tu ndo Mana analeta matozo ya ajabuajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu wanaachaje kutuita manyani kwa mfano? Fedha za umma zinatumika kuendesha kesi ya kutunga, badala ya kuhudumia wananchi wenye uhitaji. Lengo ni kukidhi utashi wa majizi ya kura yasiyotaka katiba mpya. Halafu wanaoagiza haya wanajiita wasomi, na ni watu wazima walioota nywele kila tundu la mwili!
Huyo mama nchi haiwezi sema ndo hivo Tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna member mmoja kwenye ile thread ya kesi ya Mbowe kaandika point ya maana sana; kwamba Jeshi la Polisi ni chombo kinachohusika na haki za wananchi moja kwa moja; is there any oversight body to oversee Police Force? Hakipo!

Yaani wao Polisi wamekabidhiwa mamlaka yote kuhusu haki za wananchi na hakuna chombo huru kinacho-monitor matendo yao? Wanaweza kujifanyia wapendavyo na kuripoti UONGO? Hii haikubaliki; kama taasisi kama TRA, PPRA, LATRA, n.k. ambazo zina oversight bodies kuhakikisha haki inatendeka sembuse polisi wanaohusika na MAISHA ya wananchi? Tena polisi wenyewe ndio hawa wanaoweza kutumika na wanasiasa! Hii ni hatari sana! Katiba Mpya isisahau hili.
Umesema vizuri sana. Police wana madaraka makubwa mno ambayo hayako regulated. Ni wakamataji, wanafungua mashitaka na bado sehemu kubwa wanaendesha mashitaka.

Wao ni nani anayewasimamia na kuratibu mambo yao?

Nchi nyingine na tusiende mbali sana, hapa Kenya tu Wana tume inayosimamia utendaji kazi WA police inaitwa IPOA .

Chombo cha kiraia ingawa makamishina wake wengine ni police waliositaafu kina kazi ya kusimamia utendaji kazi wa police na kupokea malalamiko ya wananchii in case kuna ukiukaji wa haki na hata wa kimaadili unaofanywa na Polisi.

Ni wakati sasa kuwa na IPOA yetu hapa.
 
Wasije wakakufanya km Bollen Ngeti licha ya kuwa mwanasisiemu lkn kuandika ukweli kulimponza mpk akina Bashite kumkosa kwa risasi za mchana kweupeee
 
Mpaka hatua hii, mimi nadhani mahakama ndiyo iamue kwa kufanya FREE & TRIAL basi...

Wasijaribu kuitumia mahakama ili kuhalalisha ujinga wa makosa na upumbavu wao...
 
Balile ajengeqwe Mnara kule Kigamboni na Chato, bila kusahau apewe na ulinzi kabisa
 
Hao wanaotesa wenzao kwa kuwafungulia kesi za kubambikia usidhani Wana uchungu na Tz! Hapana! Wanalinda vyeo vyao na familia zao hawana uchungu wowote na Tz zaidi ya maisha yao.
 
Nchi yetu inaongozwa kwa utawala wa sheria.
Hakuna aliye juu ya sheria.
Mbowe ni raia kama walivyo wengine na anatuhumiwa kwa makosa ya Ugaidi hivyo atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria, na ndio maana yuko mahakamani.
Nchi yetu haiongozi kwa kusikiliza maoni ya watu au mataifa mengine yanasemaje, Nchi yetu ina uhuru na vyombo vyake vina uhuru wa kutekeleza majukumu yake.
Hivyo mtuhumiwa Mbowe kamwe hawezi kuwa mtu maalumu mbele ya sheria.
Mbowe ni nani ktk nchi hii mpaka asituhumiwe kwa makosa aliyo yatenda tena kupanga njama za kuuwa na kuharibu amani ya nchi.
Tunaomba vyombo vyetu visikubali kuyumbishwa na maneno ya wapiga debe bali visimamie ktk kutenda haki.
 
Mahakama huwa haitishiwi nyau,wewe na kimakala chako huwezi itishia.
Hujajifunza ya Zuma,pamoja na ghasia mahakama ilimutia lupango.
 
Si wanasema "msoga king" ndio confidential wake someone she can trust very dearly.

Msoga king ni gwiji la diplomasia na alifanya kazi kubwa sana Sana kutujenga kimataifa kuanzia kwenye uwaziri wake miaka 10 Hadi ukuu wa Kaya

Bili klintoni, joji bushi na baraka odama walikiwa hapa ugagagigikoni zilikuwa jitihada za huyu mwamba wa pale "chalinze kwa mbele"

Hvi haoni ni muhimu amshahuri huyo chief hangaya aachane na huoo uchafu maana anajipaka matope na kinyesi sidhani Kama siasa na diplomasia anaijuia fresh

Aaanche na Mambo ya mwendakuzimu yule jamaa was a distaster.

Just imagine Jana chief hangaya kasimami anasoma ile hotuba wakulugwa na mdiss kimya kimya "..ndio huyu ...aisee.."

Image ya Tz imechafuka Sana sijui Kama hawaoni au ndio kiburi

Inasikitisha sana
 
Image ya Tz imechafukaje kwa kusoma hotuba?
 
Kuna member mmoja kwenye ile thread ya kesi ya Mbowe kaandika point ya maana sana; kwamba Jeshi la Polisi ni chombo kinachohusika na haki za wananchi moja kwa moja; is there any oversight body to oversee Police Force? Hakipo!

Yaani wao Polisi wamekabidhiwa mamlaka yote kuhusu haki za wananchi na hakuna chombo huru kinacho-monitor matendo yao? Wanaweza kujifanyia wapendavyo na kuripoti UONGO? Hii haikubaliki; kama taasisi kama TRA, PPRA, LATRA, n.k. ambazo zina oversight bodies kuhakikisha haki inatendeka sembuse polisi wanaohusika na MAISHA ya wananchi? Tena polisi wenyewe ndio hawa wanaoweza kutumika na wanasiasa! Hii ni hatari sana! Katiba Mpya isisahau hili.

kama hatuna tabi ya kuwa wapenda haki,basi ni upuuzi kuamini kuna body huru itakayokuwa huru kuchunguza matendo ya polisi katika kutoa haki.

wenye akili zilizoishi muda mrefu waliishasema,ukiwa utatafuta nyoka anza kumulika miguuni kwako.
 
Nafasi za ajira jeshi la polisi;
Sifa za kujiunga:
Awe na division 4 ya point 29, mpaka 34.

Asante

haya sifa za kuajiriwa kama judge zinataka elimu ipi???

elimu haihusiki kabisa kwenye reasoning ya mtu.kama huamini hujastaarabika bado,tena wewe ni hatari kuliko hawa polisi failure.
 
Back
Top Bottom