TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Asante sana kwa maoni yako.hata issue ikibuma kusiwepo na ushahidi.
Huyo mama nchi haiwezi sema ndo hivo TenaWazungu wanaachaje kutuita manyani kwa mfano? Fedha za umma zinatumika kuendesha kesi ya kutunga, badala ya kuhudumia wananchi wenye uhitaji. Lengo ni kukidhi utashi wa majizi ya kura yasiyotaka katiba mpya. Halafu wanaoagiza haya wanajiita wasomi, na ni watu wazima walioota nywele kila tundu la mwili!
Umesema vizuri sana. Police wana madaraka makubwa mno ambayo hayako regulated. Ni wakamataji, wanafungua mashitaka na bado sehemu kubwa wanaendesha mashitaka.Kuna member mmoja kwenye ile thread ya kesi ya Mbowe kaandika point ya maana sana; kwamba Jeshi la Polisi ni chombo kinachohusika na haki za wananchi moja kwa moja; is there any oversight body to oversee Police Force? Hakipo!
Yaani wao Polisi wamekabidhiwa mamlaka yote kuhusu haki za wananchi na hakuna chombo huru kinacho-monitor matendo yao? Wanaweza kujifanyia wapendavyo na kuripoti UONGO? Hii haikubaliki; kama taasisi kama TRA, PPRA, LATRA, n.k. ambazo zina oversight bodies kuhakikisha haki inatendeka sembuse polisi wanaohusika na MAISHA ya wananchi? Tena polisi wenyewe ndio hawa wanaoweza kutumika na wanasiasa! Hii ni hatari sana! Katiba Mpya isisahau hili.
lile alikuwa muhariri was gazeti la Mbowe,na Mbowe ndiye alimsomesha mpaka digrii ya pili, na alimsomesha digrii ya sheria,japo bado ana viwango vya bush lawyer
duuh yaani wewe!!!!Nafasi za ajira jeshi la polisi;
Sifa za kujiunga:
Awe na division 4 ya point 29, mpaka 34.
Asante
Image ya Tz imechafukaje kwa kusoma hotuba?Si wanasema "msoga king" ndio confidential wake someone she can trust very dearly.
Msoga king ni gwiji la diplomasia na alifanya kazi kubwa sana Sana kutujenga kimataifa kuanzia kwenye uwaziri wake miaka 10 Hadi ukuu wa Kaya
Bili klintoni, joji bushi na baraka odama walikiwa hapa ugagagigikoni zilikuwa jitihada za huyu mwamba wa pale "chalinze kwa mbele"
Hvi haoni ni muhimu amshahuri huyo chief hangaya aachane na huoo uchafu maana anajipaka matope na kinyesi sidhani Kama siasa na diplomasia anaijuia fresh
Aaanche na Mambo ya mwendakuzimu yule jamaa was a distaster.
Just imagine Jana chief hangaya kasimami anasoma ile hotuba wakulugwa na mdiss kimya kimya "..ndio huyu ...aisee.."
Image ya Tz imechafuka Sana sijui Kama hawaoni au ndio kiburi
Inasikitisha sana
Kuna member mmoja kwenye ile thread ya kesi ya Mbowe kaandika point ya maana sana; kwamba Jeshi la Polisi ni chombo kinachohusika na haki za wananchi moja kwa moja; is there any oversight body to oversee Police Force? Hakipo!
Yaani wao Polisi wamekabidhiwa mamlaka yote kuhusu haki za wananchi na hakuna chombo huru kinacho-monitor matendo yao? Wanaweza kujifanyia wapendavyo na kuripoti UONGO? Hii haikubaliki; kama taasisi kama TRA, PPRA, LATRA, n.k. ambazo zina oversight bodies kuhakikisha haki inatendeka sembuse polisi wanaohusika na MAISHA ya wananchi? Tena polisi wenyewe ndio hawa wanaoweza kutumika na wanasiasa! Hii ni hatari sana! Katiba Mpya isisahau hili.
Nafasi za ajira jeshi la polisi;
Sifa za kujiunga:
Awe na division 4 ya point 29, mpaka 34.
Asante