Balile: DPP, IGP, DCI lifutieni taifa aibu kesi ya Mbowe

Wewe na uelevu wako uliopindukia unadhani Ruge na wale ndugu zetu wamesafishika?
 
kumfungia wakati ukweli unajulikana
Kwa nini mnaamini mahakama itafunga. Imani hii inatoka wapi? Au inatokana na kitu mnachokijua lakini hamtaki kukisema, au mnadhani wanasheria wanaomtetea ni incompetent kiasi cha kushindwa kumtetea vyema mteja/ wateja wao? Hii imani ya kusema atafungwa inatoka wapi, kwa nini hamfikirii mahakama inaweza kumuachia?
 
Ni sisi wenye akili timamu tunakuelewa vizuri..hao wengine pamoja na kuwa na akili wamekuwa wavivu wa kuzitumia.
 
Jaji Mutungi anataka usuluhishi kuhusu mikutano, Sirro anasema mikutana ya ndani inatia mashaka! Anasita kusema wazi kuwa haitaki! Kwake kukamata ni muhimu kuliko suluhu! Ulichokiandika Sirro hatakubaliana nacho.
Nawaza, hivi kwa nini vyama vya siasa wasitumie faida za teknolojia za mawasiliano kwa kufanya virtual meetings, watumie zoom, teleconferencing za simu, google meetings, nakadhalika kukwepa vikwazo vya Sirro. Jambo hili linaweza kufanyika kwa kubadili katiba za vyama vyao kukidhi kigezo cha kufanya virtual meetings.

Ni vyama hivi vilituaminisha kuwa vyenyewe vina akili kubwa kuliko vyama vingine, inakuwaje wasilione hili!?
 
Wakitumia unavyosema mikutano yote itaishia polisi, usalama wa taifa na CCM.
 
Yaani mkuu umeongea point kabisa, baada ya serikali kuona mashahidi 3 wamebanwa Sana na kuelekea kuitia aibu police, PGO mtihan kwao, wakaona wasilete wengine 4 kwa kulinda heshima yao. Bora pia watumie hekima hiyo hiyo kuondoa hii kesi.

Yaan mm nashindwa kuelewa Hawa police, wanajuwa maana ya Gaidi kweli..?

Wakati mtu wa usalama wa Taifa anahitaji muda wa mala 6 katika maisha yake yote, yaan muda wa sekunde, dakika, lisaaa, siku, wiki, mwez na mwaka kuhakikisha nchi iko salama, Gaidi haitaji mida yote hiyo.

Gaidi anahitaji one single chance, yaan ni Kama nusu ya sekunde kutekeleza ugaidi wake, sasa eti Gaid mbowe aliitaji kuandaa kikundi,aliitaji kukata miti kuweka barabaran, Kaz kweli kweli.

kwakweli Hawa watu wanampa wakati mgum raisi wetu. Waliosema nyota njema uonekana asubuh walikuwa wakweli.

Raisi Samia alipo ingia madarakan, huyu Mama nia yake ilionekana njema Sana kwa watanzania . Alikemea TRA kupora watu, dhuruma n.k

hachane kumuangusha na kumpa wakati mgumu. Nafikiria wakati mwingine uenda uko alipo marekan, baada ya mkutano, labda anaenda mahala kutembea labda kwenye vivutio mbali mbali, akiwa ameongozana na maraisi wenzie, mala gafra anakutana na mabango ya freeee mbowe, watu wanamuonaje!! Hachen kumpa wakat mgum raisi wetu.
 

" ....watu wazima walioota nywele kila tundu la mwili!"

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hiiiiii bagosha!
 
Wakitumia unavyosema mikutano yote itaishia polisi, usalama wa taifa na CCM.
Wana akili kubwa bwana, kama waliweza kumtambua kigogo aliyesemekana hawezi kutambulika, wanw shindwaje ku'encrypt' virtual meetings zao. Hata hivyo, ni jambo gani la siri na la kisiasa tena zile za maendeleo ya watu wa Tanzania hawataki wana CCM walijue!? Bado nawaza mkuu, sijasema jambo lolote.
 
Waulize polisi kwanini vijana wenye division 1,2 na 3 wapo lakini wao wanataka wenye division 4

mtoto wa divisio ulizotaja,anatakiwa aendelee na shule maana kafaulu kuendelea,anatakiwa akasomee utaalamu mbele huko.
 
Hii ni hatari, sikutegemea uniulize swali hili kwa haiba na hulka yako.
Umri wa Mzee kama Ruge furaha yake kubwa hapa duniani kwa sasa ni kukaa na familia yake,na wajukuu. Hilo ameshalipata. Issue ya kusafishwa au kusafishika is weightless!
Walioitwa mafisadi Jana,leo ni mawaziri!! Nani aliwasafisha na wamesafishikaje?
 
Vyama vinapofanya mikutano ya ndani huwa kuna siri, usalama wa taifa na tcra wanauwezo wa kukudaka hewani.
 
Hivi hawa wazungu wanaokuja pale mahakamani wanatuonaje?si wanatuona manyani wasio na akili kabisa?
 

Kuna watu wanajua kufikiri sawa sawa.Nadhani wakati umefikia katiba mpya wakatazama namna ya kuunda chombo kitakacho tazama utendaji wa Police.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…