Balile: Hatukubaliani na ufungaji wa vyombo vya habari wala vitisho wanavyopata waandishi wa habari

Balile: Hatukubaliani na ufungaji wa vyombo vya habari wala vitisho wanavyopata waandishi wa habari

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deogratius Balile amesema katika maadhimio yao wameweka wazi kuwa awakubaliani na ufungiaji wa Vyombo vya Habari, kama JamiiForums, Jambo Tv au vitisho au manyanyaso wanayopata Waandishi wa Habari .

Soma Pia: Maxence Melo: Hali ya Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari ni mbaya

 
Ni kwamba akili imeanza kupanda kutoka tumboni kwenda kichwani! Aa anawapaka mafuta waandishi wenzake wa habari kupitia mgongo wa chupa!
 
Nchi ngumu sana hii. Huyu ni mtu wa kusema hivi? Huyu ni mbaya kuliko hata huo watawala.
Jamaa ni linafiki sana ,huyiu ilitakiwa CHama Cha wanahabari kumuondoe kabisa kwenye uhandishi wa habari maana ni NYOKA aliyechangia kuua UHURU wa HABARI kwa kuongwa "VIPANDE THALATHA VYA SHEKELI".
 
Back
Top Bottom