Balile: Kupitia kalamu ya Uandishi wa Habari bandari ya Dar es Salaam imekuwa bandari bora

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema: “Kupitia kalamu yetu, Bandari ya Dar es Salaam imekuwa bandari bora; hakuna gari linalopita kwenye Bandari ya Dar es Salaam likaibiwa parking.”

Balile amezungumza hayo kwenye kipindi cha medani Kuu kupitia Star Tv leo Septemba 26, 2026 katika mjadala uliowakutanisha wadau na waandishi wa Habari nchini

"Tulikuwa na bandari ya Dar es Salaam hapa... ilitangazwa kwamba kontena 11 ilipotea, ni kalamu ya mkono wangu kupitia gazeti la Jamhuri tuliandika kwamba kuna wizi wa kontaina..."

Kupitia kalamu yetu bandari ya Dar es Salaam imekuwa bandari bora... hakuna gari linopita kwenye bandari ya Dar es Salaam likaibiwa parking... Bandari ya Dar es Salaam imefungwa CCTV kamera... inachangia 47% ya kodi.

Balile wa enzi za gazeti la Tanzania Daima na Balile wa gazeti la Jamhuri wakikutana wanaweza kuzichapa mpaka damu zimwagike. Sitafafanua.
 
Nafuatilia hapa huu mjadala kiukweli Balile amethibitisha kuwa ni mtu wa ovyo sana na ni mpuuzi kama alivyoitwa na Khalifa.

Khalifa yuko deep sana kwenye hoja zake na anatoa hoja nzito ambazo ni kichomi kwa watawala.

Binafsi naogopa sana kwa mazingira yetu tuliyopo, ukweli wake unaweza kumuweka matatani.
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema: “Kupitia kalamu yetu, Bandari ya Dar es Salaam imekuwa bandari bora; hakuna gari linalopita kwenye Bandari ya Dar es Salaam likaibiwa parking.”

Balile amezungumza hayo kwenye kipindi cha medani Kuu kupitia Star Tv leo Septemba 26, 2026 katika mjadala uliowakutanisha wadau na waandishi wa Habari nchini

"Tulikuwa na bandari ya Dar es Salaam hapa... ilitangazwa kwamba kontena 11 ilipotea, ni kalamu ya mkono wangu kupitia gazeti la Jamhuri tuliandika kwamba kuna wizi wa kontaina..."

Kupitia kalamu yetu bandari ya Dar es Salaam imekuwa bandari bora... hakuna gari linopita kwenye bandari ya Dar es Salaam likaibiwa parking... Bandari ya Dar es Salaam imefungwa CCTV kamera... inachangia 47% ya kodi.

Huyu jamaa sijui anaugua ugonjwa wa aina gani
 
Back
Top Bottom