Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Balile wa enzi za gazeti la Tanzania Daima na Balile wa gazeti la Jamhuri wakikutana wanaweza kuzichapa mpaka damu zimwagike. Sitafafanua.Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema: “Kupitia kalamu yetu, Bandari ya Dar es Salaam imekuwa bandari bora; hakuna gari linalopita kwenye Bandari ya Dar es Salaam likaibiwa parking.”
Balile amezungumza hayo kwenye kipindi cha medani Kuu kupitia Star Tv leo Septemba 26, 2026 katika mjadala uliowakutanisha wadau na waandishi wa Habari nchini
"Tulikuwa na bandari ya Dar es Salaam hapa... ilitangazwa kwamba kontena 11 ilipotea, ni kalamu ya mkono wangu kupitia gazeti la Jamhuri tuliandika kwamba kuna wizi wa kontaina..."
Kupitia kalamu yetu bandari ya Dar es Salaam imekuwa bandari bora... hakuna gari linopita kwenye bandari ya Dar es Salaam likaibiwa parking... Bandari ya Dar es Salaam imefungwa CCTV kamera... inachangia 47% ya kodi.
Huyu jamaa sijui anaugua ugonjwa wa aina ganiMwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amesema: “Kupitia kalamu yetu, Bandari ya Dar es Salaam imekuwa bandari bora; hakuna gari linalopita kwenye Bandari ya Dar es Salaam likaibiwa parking.”
Balile amezungumza hayo kwenye kipindi cha medani Kuu kupitia Star Tv leo Septemba 26, 2026 katika mjadala uliowakutanisha wadau na waandishi wa Habari nchini
"Tulikuwa na bandari ya Dar es Salaam hapa... ilitangazwa kwamba kontena 11 ilipotea, ni kalamu ya mkono wangu kupitia gazeti la Jamhuri tuliandika kwamba kuna wizi wa kontaina..."
Kupitia kalamu yetu bandari ya Dar es Salaam imekuwa bandari bora... hakuna gari linopita kwenye bandari ya Dar es Salaam likaibiwa parking... Bandari ya Dar es Salaam imefungwa CCTV kamera... inachangia 47% ya kodi.
Ashalamba asali muda sanaHuyu jamaa sijui anaugua ugonjwa wa aina gani