Balile: Magufuli katutenda, deni la nje lafikia shilingi Trillion 78

Tulliyaona haya siku nyingi tu.

MATAGA sasa leo sijui mnaficha wapi sura zenu.
 

Kuna miradi ya 30t iliyokamilika nchi hii?
 
Mama hana wanawake wenzake hawamkubali. Sijui kawakosea nini!? Labda twaweza waje na utafiti.
 
lawama zote ni kwa ccm kumpa nchi mtu asie na sifa za uwongozi yupo yupo tu mpenda sifa mwenye chuki za kijinga inshaa,allah mama atatuvusha
 
Jpm alitufanyia vitimbi vingi sisi wapinzani ila alikuwa na uchungu na maenddleo ya nchi. Suala la Mbowe sidhani kama ni la kuliingiza hapa. Achana naye.
 

Kuna clip Nyerere alisema tofauti kati ya mjinga na mpumbavu…

Alisema upumbavu ni kipaji na ujinga ni simply you don’t know what you dont know…

Mkuu I hope maelezo yako haya yataelimisha wajinga watakaopitia comment zako…
 
Kichwa cha habari tu ni ishara tosha mwandishi ni mzandiki na sitoshangaa kuja kubaini mbeleni ata ukubwa wa deni ni exaggerated.

Mara kadhaa Dr Mpango kasafiri kwenda kutafuta mikopo, mara kadhaa mawaziri wa TAMISEMI na afya wameelezea source ya funding ya miradi yao mingi ni WB. Mfano ujenzi wa zahanati, ukarabati wa shule kongwe.

Tena mara nyingi tu mawaziri wamesema ivyo mbele ya Magufuli mwenyewe, mfano alipokuwa Tabora anakagua ujenzi wa hospitali ya wilaya Dr Gwajima alisema mbele yake ujenzi unafanywa kwa hisani ya WB.

Magufuli alikuwa anapenda cheap politics tu saa zingine, ila kukopa was an open secret. Muhimu ni kuona hela inaenda kwenye miradi sahihi.
 
Wajinga, wapumbavu na wanafiki hawatakwisha Tanzania..
 

Hebu tutajie miradi iliyoleta deni la 20t+.
 
ndo mwisho wako wa kufikili mkuu? ivi mtu kama mwigulu tangu lini akaamika? unataka niamini taarifa iliyotolewa na BOT, au mwigulu, acha ushabiki maandazi
Hiyo taarifa ya BOT imeandaliwa na malaika au watendaji waliochini ya waziri wa fedha na mipango ambae ni Mwigulu?
 
Wewe ulisema na wengine pia walisema hata CAG nadhani alisema kwenye taarifa zake ila huyu hakusema sasa anasema utadhani ni taarifa mpya. Kwa nini hakuisema wakati huo?
 
Rais SSH hajakuta kitu BOT ndiyo maana ame introduce Tozo.
Mkubali tu hana mbinu za kupata kodi hivyo ameamua kuumiza watu wa chini.

Mpaka kufika mwezi wa babe shule karibia zote za msingi na swkondari zilikuwa zimeoewa pesa za ujenzi wa madarasa. Hii unamaanisha hizo bajeti zilikuwepo na pesa zilikuwepo cha kushangaza , Tumewekewa tozo tukaambiwa pesa zinakwenda kujenga madarasa. Mkopo imechukuliwa tumepewa sababu hizo hizo. Nina ushahidi na hili kwa sababu nilikuwa na tenda ya kusaply mbao, na kutengeneza milango na madawati na bililipwa mwezi wa nane pesa zote. Kwa taatifa yako hadi shule zingine zilipewa pesa za kujenga madarasa zaidi ya uhitaji.

Hizo tozo na mkopo ni pesa inapigwa tu.
Tunaposema mama hafai tunamaanisha tunachosema.
 
lawama zote ni kwa ccm kumpa nchi mtu asie na sifa za uwongozi yupo yupo tu mpenda sifa mwenye chuki za kijinga inshaa,allah mama atatuvusha
Hivi unajua Allah ni shetani!? Alimtokea mapangoni ndugu yenu akampa mabanzi! Kwa vile unachuki zako za kijinga juu ya Magufuli unawalaumu CCM unafikiria Magufuli alijiweka kama yeye? Je hujui Lowasa na Membe waliutaka sana Urais na kwa sasa hawataweza kuwa kwenye urais mpaka kufa kwao! Unaanza kumshukuru Allah sijui ndo ujinga gani?
 
Hivi nani asiejua maumivu yakung'olewa kucha zake na wasiojulikana?mbona humuulizi waziri wa afya ama hangaya kwanini leo wana vaa barakoa?
 
Hivi nani asiejua maumivu yakung'olewa kucha zake na wasiojulikana?mbona humuulizi waziri wa afya ama hangaya kwanini leo wana vaa barakoa?
Wanavaa barakoa kwa sababu ya mkopo.
Hivi hujui kuwa sharti kubwa la ule mkopo ni kukuonyesha kuwa COVID 19 ipo ndio unapewa mkopo.
 
Hiyo taarifa ya BOT imeandaliwa na malaika au watendaji waliochini ya waziri wa fedha na mipango ambae ni Mwigulu?

Soma lipoti ya BOT then soma tarifa ya mwigulu uone utofauti, huyo mwiguru ni mwanasiasa yupo kwa ajili ya kutetea nafasi yake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…