Balile: Watu walikuwa wakiulizia wangapi wamefariki Takwimu zimepatikana, Rais amesema waliohusika wawajibike binafsi

Balile: Watu walikuwa wakiulizia wangapi wamefariki Takwimu zimepatikana, Rais amesema waliohusika wawajibike binafsi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) akizungumza na waandishi wa habari Aprili 23, 2026 baada ya Tume ya Kuchunguza Matukio yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Oktoba 2025, kukabithi ripoti kwa Rais Samia
​
Soma pia PostGE2025 - Jaji Chande: Waliofariki kutokana na vurugu ni 518, watoto walikuwa 21

Balile
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Kuwajibika binafsi ndio kuwajibika kivipi?
 
Huyu ndio waandishi wa kizazi cha kina Paskali Mayalla yaani walivyojirahisisha hadi aibu. Nadhani ni mambo ya kuona umri umeenda hivyo inabidi watafute maisha hata kwa kujidhalilisha.
 

Anaongea Wakati Hili Jambo Ni Kuubwa Mnoo,,Na Linahitaji Kuzungumza....!!​
 
Kwamba Samia ajiwajibishe? Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na mjumbe wa Tume ajiwajibishe mwenyewe? Wakati mwingine unaweza dhani kama tunaongozwa na darasa la nne.
 
Back
Top Bottom