Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Wanaume wa dar hamuwezi hzo mtaaibika.. Mmezoea vile vya kijani vinauzwa 3000 kimoja ..inasikitisha mkuu
Nawaona watu hapa kwetu pazuri wanavinywa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wa dar hamuwezi hzo mtaaibika.. Mmezoea vile vya kijani vinauzwa 3000 kimoja ..inasikitisha mkuu
hahaha mi sio wa dar mkuu...Wanaume wa dar hamuwezi hzo mtaaibika.. Mmezoea vile vya kijani vinauzwa 3000 kimoja ..
Nawaona watu hapa kwetu pazuri wanavinywa
Haha wanywaji wa Heineken na Windhoek siku hizi tupo wachache sana!!Sema ukweli tu KWA nini umeshift kutoka Castle lite
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu tunapo isoma namba, naona visingizio vinaongezeka tu.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
By the way, niliwahi kuinywa sikumoja. Asubuhi niliamka nikiwa sina mning'inio, lakini mdomo ulikua unaninuka utadhani nilikula haja kubwa
Dah..., umenikimbusha pilsner a.k.a UkawaPombe gani haina stimu,nmeijaribu hyo pombe one day nikapiga chupa km 4 hivi hata sikulewa kabisa,mm kwang bora pilsener lager ina stimu ya fasta
Watu hawana PESA..... Tusiopiga dili tu ndo tumebaki na Heineken zetu....Inauza balaa mjini hapa